Android users tuna kikao cha dharura

Kama haitengenezeki tupa nunua nyingine, unataka kukaa na simu mpaka wajukuu waje kurithi?

Ifunge vizuri hiyo simu andika barua iambatanishe simu na hiyo barua wapelekeee makao makuu ya kampuni yao huko nje ya Tanzania. Unaweza kutengezewa au kuletewa nyingine. Wana budget nzuri za customer care. Kwa haoa Tanzania utajihangaisha tu. Tumia posta tu sehemu ya vifirushi. Hakikisha unaweka vizuri anuani yako. Ukishituma usijiumize moyo, subiri matkeo, nunuwa simu nyingine.

kama haufahamu namn ya ya kuiandika hiyo barua weka details, uliinunuwa lini, uliinunuwa mpya au imeshatumika? Mimi najitolea kukuandikia hiyo batua, sehemu za dots dots utajaza mwenyewe.

Changamjia fursa hii.
 
Kuliko nipeleke simu kwa fundi nikampe hela ya kutengeneza bora nitumie "kivunjaa" (simu ya button) ya elf 20 maana baada ya kutengeneza huwa quality inapungua sana
 
Ni Kweli Pixel Zinazima mimi hapa Pixel 7 imezima yenyewe Circuit mbovu
 

Attachments

  • SGCAM_20241105_1633344220.PORTRAIT.jpg
    321.4 KB · Views: 5
  • SGCAM_20241105_1633416570.PORTRAIT.jpg
    628.2 KB · Views: 4
Kuliko nipeleke simu kwa fundi nikampe hela ya kutengeneza bora nitumie "kivunjaa" (simu ya button) ya elf 20 maana baada ya kutengeneza huwa quality inapungua sana
Target ni kuiuza na sio kutumia ,mi so mpenzi wa google
 
Sahihi mi sina shida ya kuitumia mkuu target ni kuuza ,simu yakutumia ipo
 
Kariakoo watu wanapigwa sana na ile kauli ya Used from dubai, kumbe ni refurbished phones.
Mmmh! Mbona kama ni ina maana moja, used then refurbished? Inatumika inapigwa msasa inauzwa tena eaaaasy
 
Nimecheka japp kwenye charging system
 
Mbona mnaziponda simu za google?
Mi nimetumia google pixel 3 mbona haikuwahi kusumbua hivyo na nilinunua used kabisa....shida itakuwa mnapozinunua mnauziwa simu mbivu na wajanja wa Town.

Ingia youtube uulize kama sucker za simu zinakufa hovyo hovyo kama unavyoambiwa na wale mafundi wabadilisha vioo pale Kariakoo.
 
Vp unaexperience nazo au unaongea tu kutokana na story za jaba za kitaa
natumia hapa baada ya kioo kutakiwa kubadilishwa ilibidi niagize Dubai simuyote ikafungwa kioo napo baada ya kutonywa na mdau.....ukirudi kesho mashine utaambiwa imezima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…