MgosiMnubi
JF-Expert Member
- Dec 6, 2022
- 890
- 1,487
Acha shobo na vitu vya mzunguWe choko linakutoka povu na unatumia tecno
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha shobo na vitu vya mzunguWe choko linakutoka povu na unatumia tecno
Unajitekenya na kucheka mwenyeweSiku nyingine utapakwa mafuta acha kuropoka
Sas linakutoka povu lanini?Brand ni samsung tuh
Wengi mlikuja na ulimbukeni wa kushobokea hayo madudu bila kufanya upembuzi yakinifu
Pole mkuuSas linakutoka povu lanini?
Unatumia samsung A series alafu unatia kelele
Kikqo cha mwisho tulikubaliana samsung zote ni kuanzia S20 utra hadi 24
Galaxy Z flip 3 5g hadi 5
Na z fold
Ova
Msalimie sana Ratifa mwambie nampenda piaSiku nyingine punguza shobo kwenye mambo ya watu
Mkuu mi situmii google mbona nazifahamu kua google zinamatatizoPole mkuu
Ila siku ingine ukiona kitu ndokinaingia sokoni usitake wewe ndouwe majaribio vipe muda ukiwa unavisoma na kuvielewa sio ukisikia simu flan au kifaa flan kipya na wewe umo utajajutia...
Onhooooo
@Chief Mkwawa
BatuaKama haitengenezeki tupa nunua nyingine, unataka kukaa na simu mpaka wajukuu waje kurithi?
Ifunge vizuri hiyo simu andika barua iambatanishe simu na hiyo barua wapelekeee makao makuu ya kampuni yao huko nje ya Tanzania. Unaweza kutengezewa au kuletewa nyingine. Wana budget nzuri za customer care. Kwa haoa Tanzania utajihangaisha tu. Tumia posta tu sehemu ya vifirushi. Hakikisha unaweka vizuri anuani yako. Ukishituma usijiumize moyo, subiri matkeo, nunuwa simu nyingine.
kama haufahamu namn ya ya kuiandika hiyo barua weka details, uliinunuwa lini, uliinunuwa mpya au imeshatumika? Mimi najitolea kukuandikia hiyo batua, sehemu za dots dots utajaza mwenyewe.
Changamjia fursa hii.
Charging system umeandika kwa usahihi. Wenyewe wanakuambia system chargerNielezee kwa kifupi
Simu haiwezi kufa mashine yaani circuit, kufa kwa mashine ni iwe imevunjika kabisa.
Ni hivi.
Mashine(circuit)ni muunganiko wa components mbali mbali mfano capacitor, resistor, diode na IC. Sasa kinachotokea Ni kwamba utakuta kuna kitu kimojawapo kati ya hivyo nilivyovitaja vimepata short au zimefail kufanya kazi hivo inapelekea mfumo wa saket kutokukamilika, na hapo ndipo simu itakapogoma kuwaka.
Sasa tatizo linakuja kuwa ni hawa mafundi wanakuwa hawana uwezo wa kugundua kuwa ni kipi kimefail ambacho kinafanya saket isikamilishe mzunguko. Huu utambuzi pamoja na utatuzi unahitaji vifaa na elimu kitu ambacho mafundi wetu hawana, sasa ndipo hili la saket/mashine imekufa linatpotokea kwahiyo unatakiwa ubadili mashine.
Kumbe ni ki diode tu kidogo kama sisimizi ndo kilichozingua.
Mafundi wengi Ni waongo hawaelewi hata concept ya hardware wanachoweza ni kubadili tu vi spear kama vioo, betri na charging port tena wenyewe wanasema charging system.
Hata google wenyewe hawajui Chanzo, ni tatizo Sugu la pixel.Habari Wakuu,
Kama ilivyo kwa simu za Google Pixel 4a na 4a 5G kuzima ghafla, pindi unapozipeleka kwa fundi jibu linakuwa kuwa "mashine imekufa." Niko na Google Pixel 4a 5G ambayo imezima ghafla, na nilipopeleka kwa fundi, jibu lilikuwa kama kawaida: mashine imekufa.
Ikiwa kuna JF member mwenye utaalamu wa kutengeneza mashine za Google Pixel, ajitokeze ili niirekebishe na kujua chanzo halisi cha tatizo hili la kuzima ghafla.
Ova
Mim yangu ni Galaxy A20s imegoma ku-update system software mwaka wa pili huu, sijui tatizo nini? Msaada kwa anayejuaSas linakutoka povu lanini?
Unatumia samsung A series alafu unatia kelele
Kikqo cha mwisho tulikubaliana samsung zote ni kuanzia S20 utra hadi 24
Galaxy Z flip 3 5g hadi 5
Na z fold
Ova
Mbona mwanzo ilikuwa inaupdate vizuri tuItakua hiyo simu wameicustom software files kwahiyo ni vigumu kupdate