Wengi wetu tunanunua used phone na refurbished
Mara Nyingi refurbished phone zinatoka china Huko wanakiwanda Kabisa Cha kufufua simu na kuzirudisha zikiwa Mpya Kabisa Tena boksi wanfunga [emoji51]
Baadhi ya simu zinakuwa imara na nzuri Tu Kwa matumizi
Lakini ya baadhi ya simu zinakuwa errors kibao mara battery , mara kujirestart
Ila ukitafute nunua simu zipo simu Mpya Kabisa madukan tunalijua Hilo sema mfuko wa shati ni WAKITENGE
binafsi natumia pixel Pia zinachangamoto za kujirestart