Nice. Ila nikwambie tu kwa case ya Morogoro, haiwezi kuwa na uwanja wa ndege kwa matumizi ya uchukuzi wa umma kwa maana tayari Morogoro na anga lake ni restricted military airspace.
Nice. Ila nikwambie tu kwa case ya Morogoro, haiwezi kuwa na uwanja wa ndege kwa matumizi ya uchukuzi wa umma kwa maana tayari Morogoro na anga lake ni restricted military airspace.
Mkoa wa Geita kuna Airport Geita na Airport Chato, hii ya pili hii inapatikana Kijiji cha Chato nyumbani kwa dikteta (kwa sasa inatumika kukaushia nafaka).
Pamoja na jitihada zote hizo Mwanza Airport imesahaulika muda mrefu kutokana na pato linalopatikana hapo na sasa danadana zinaendelea kupigwa,utaratibu wa kufanya hafra ya makabidhiano tu kwa TAA bado ni ngumu. Hujuma kwa uwanja huu ni complex.