Anga la Tanzania ya Samia linazidi kufunguka. Bado mikoa 7 tu kupata Uwanja wa Kisasa wa Ndege

😁😁
Hutaki wasambaa waende kwao na mwewe
Wasubirie Samia awajengee baada ya miradi mingine kukamilika, mfano Iringa, Mtwara, Mpanda nk vinaweza kamilika mwakani hivyo kutoa chance Kwa viwanja hivyo vingine kuanza Ujenzi probably 2025.
 
Mtu ambaye anafanya uchawa na kisha anakiri kabisa kuwa yeye ni chawa huyo mie namuelewa vizuri kwa sababu najua anafanya hivyo kwa masilahi ila yule anayefanya uchawa kisha anakataa kuwa yeye si chawa huyo mtu mie ananishangaza kweli, kwa sababu nashindwa kuelewa kuwa anafanya hicho anachokifanya(uchawa) ili iweje?
 
Uchawa ni kufanyaje Ili nijue
 
Uchawa ni dhana iliyoanzishwa na hasira za watu fulani baada ya JPM kufariki dunia, ni neno ambalo lina lengo la kejeli kwa wanaohusishwa nalo lakini hao wanaokejeli walijikomba sana kwa hayati miaka ile akiwa hai.

Kuna watu walitamani sana JPM aendelee kuwa hai lakini ni Mungu anayetupangia kila sekunde ya uhai wetu hapa duniani. Ni kukubaliana tu na ukweli kwamba siku zetu hapa duniani zina mwisho wake kuliko kuanza kuichukia awamu ya Samia kana kwamba ndio inahusika na kifo cha JPM.
 
Mkuu Machawa wana hadi umoja wao kabisa wanajitangaza kuwa wao ni machawa, sasa ajabu unaingiza habari za Magufuli sijui hata imekuaje!
 
Walikuwa wanaitwa mataga waimba pambio wa mzilankende.Ukiwauliza kuwa chawa ni kuwaje hawana majibu
 
Kama hiyo ndio maana ya chawa basi Mimi nitakuwa chawa wa kujitolea maana nimekuwa nafanya hivyo since mama kashika usukani sikuwahi jua kuwa chawa ni kuelezea mazuri ya Rais ,Kwa hiyo ni sawa kabisa
 
Kwani we ulikuwa unajua chawa ni nini mkuu?
 
Mkuu Machawa wana hadi umoja wao kabisa wanajitangaza kuwa wao ni machawa, sasa ajabu unaingiza habari za Magufuli sijui hata imekuaje!
Uchawa ni dhana kabla hata hatujaongelea uwepo wa hicho chama. Tangu awamu ya kwanza ya Mwalimu Nyerere wamekuwepo watu wenye tabia hizi.

Miaka ile wakiitwa wapambe wa watawala, waimba mapambio. Naongelea hawa wanaofagilia viongozi awamu ya SSH kuonekana wanachofanya ni kitu kipya kabisa wakati tangu enzi na enzi wamekuwepo.
 
Haina tofauti, hebu fikiria kwanza mtu amejipa kazi ya kusifia na kutetea pale watu wanapokosoa ina maana yeye anataka kusifiwe tu ilimradi kusifia. Au wewe unaweza kuelezea vp kwa hali kama hiyo?
Kuna mtu kakukataza wewe hater kukosoa?
 
Uchawa ni dhana kabla hata hatujaongelea uwepo wa hicho chama. Tangu awamu ya kwanza ya Mwalimu Nyerere wamekuwepo watu wenye tabia hizi.

Miaka ile wakiitwa wapambe wa watawala, waimba mapambio. Naongelea hawa wanaofagilia viongozi awamu ya SSH kuonekana wanachofanya ni kitu kipya kabisa wakati tangu enzi na enzi wamekuwepo.
Kama ni kitu cha toka zamani na kiko hivyo hivyo basi watu wasingeshangaa au kuona kipya.
 
Soma vizuri hakuna niliposema kukatazwa kukosoa au kuwa chawa bali nimeelezea hao machawa kuwa ni watu wazima waliyojipa kazi ya kusifia tu mwanzo mwisho na kutetea pale watu wanapokosoa kwa maana wao wanataka kusifiwe tu ilimradi kusifiwe hawataki kuona kunakosolewa bila kujua kuwa kukosoa kunahitajika pia ili kujua penye mapungufu yarekebishwe.
Kuna tatizo kwani kusifia mazuri ya serikali kama haya?

View: https://twitter.com/WizarayaUC/status/1711015580977807665?t=y_-ZJOsnYnxU8vHZV7D6pQ&s=19
 
Kama ni kitu cha toka zamani na kiko hivyo hivyo basi watu wasingeshangaa au kuona kipya.
MATAGA - Make Tanzania Great Again, waliiga hilo jina kutoka Marekani miaka ile ya Donald Trump aliyetengeneza kofia nyekundu za kampeni.

Wale walikuwa ni chawa sawa na hawa wa awamu ya sita na wengi wao wanaumia kuwaona hawa wa awamu ya Sita wakila bata muda huu, wanasahau maisha ni kupokezana kila kinachotokea.
 
Nice . Ila nikwambie tu kwa case ya morogoro,haiwezi kuwa na uwanja wa ndege kwa matumizi ya uchukuzi wa umma kwa maana tayari morogoro na anga lake ni restricted military airspace.
Naomba ufafanuzi kidogo hapa mkuu kwenye eneo la millitary airspace. Navuta kitu kabisa
 
Back
Top Bottom