Tz mbongo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 13,332
- 7,351
Kumbe ukiwa chawa unakula bata?MATAGA - Make Tanzania Great Again, waliiga hilo jina kutoka Marekani miaka ile ya Donald Trump aliyetengeneza kofia nyekundu za kampeni.
Wale walikuwa ni chawa sawa na hawa wa awamu ya sita na wengi wao wanaumia kuwaona hawa wa awamu ya Sita wakila bata muda huu, wanasahau maisha ni kupokezana kila kinachotokea.