ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
- #101
🗑️🗑️La
Labda km wewe siyo Mtanganyika ama wewe ni miongoni mwa wasomi wajinga sana ambao kwa sasa ni wadudu wanaopenda kuishi maeneo machafu (chawa).
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🗑️🗑️La
Labda km wewe siyo Mtanganyika ama wewe ni miongoni mwa wasomi wajinga sana ambao kwa sasa ni wadudu wanaopenda kuishi maeneo machafu (chawa).
La

Naendelea kuwakumbusha kazi nzuri na ya kutukuka inayofanywa na Serikali ya awamu ya 6 Chini ya Mama wa Vitendo Rais Dr Samia.
Serikali ya mama imekamilisha ujenzi wa viwanja kadhaa vya ndege vikiweno vifuatavyo;
Kazi ya ujenzi na ukarabati wa viwanja unaendelea Kwenye Mikoa 11 ambapo zipo katika hatua mbalimbali
- Songwe Airport Mbeya
- Songea Airport Ruvuma
- Chato Airport Geita
- Dodoma Airport
Mikoa ambayo haina Viwanja vya ndege vyenye hadhi ni
- Msalato International Airport-Dodoma
- Arusha Airport
- Moshi Airport
- Mwanza Airport
- Shinyanga Airport
- Sumbawanga Airport
- Musoma Airport
- Mpanda Airport
- Mtwara Airport
- Kigoma Airport
- Iringa Airport
- Tanga Airport
- Mtemere Airport -Nyerere National park
- Kahama Airport
Singida
Manyara
Njombe
Simiyu
Lindi
Songwe
My Take
Namba zinajieleza Kila mtu Morogoro Iko reserved Kwa sababu za kiusalama ingawa Ina uwanja wa Kijeshi.
View: https://twitter.com/RashdaZunde/status/1710214957667602608?t=xy3XFtoUUtAKPSF-2XubRA&s=19
View: https://youtu.be/u-bLUdrHL4U?si=rvm4TONJzXvrazjw
View attachment 2776407View attachment 2776409View attachment 2776410View attachment 2776411View attachment 2776412View attachment 2776413View attachment 2776414

- Kikoboga Airport Mikumi NP
- Ruaha NP Airport
- Mikumi NP Airport

- Ruaha NP Airport(2 Airports)

Jengo jipya kabisa limeanza kujengwa MwanzaJengo la abiria la Mwanza airport ni kinyaa hapa ni kama hakuna kiwanja cha hadhi ya jiji hilo. Maamuzi yafanyike.
Naendelea kuwakumbusha kazi nzuri na ya kutukuka inayofanywa na Serikali ya awamu ya 6 Chini ya Mama wa Vitendo Rais Dr Samia.
Serikali ya mama imekamilisha ujenzi wa viwanja kadhaa vya ndege vikiweno vifuatavyo;
Kazi ya ujenzi na ukarabati wa viwanja unaendelea Kwenye Mikoa 11 ambapo zipo katika hatua mbalimbali
- Songwe Airport Mbeya
- Songea Airport Ruvuma
- Chato Airport Geita
- Dodoma Airport
Mikoa ambayo haina Viwanja vya ndege vyenye hadhi ni
- Msalato International Airport-Dodoma
- Arusha Airport
- Moshi Airport
- Mwanza Airport
- Shinyanga Airport
- Sumbawanga Airport
- Musoma Airport
- Mpanda Airport
- Mtwara Airport
- Kigoma Airport
- Iringa Airport
- Tanga Airport
- Mtemere Airport -Nyerere National park
- Kikoboga Airport Mikumi NP
- Ruaha NP Airport(2 Airports)
- Kahama Airport
Singida
Manyara
Njombe
Simiyu
Lindi
Songwe
My Take
Namba zinajieleza Kila mtu Morogoro Iko reserved Kwa sababu za kiusalama ingawa Ina uwanja wa Kijeshi.
View: https://twitter.com/RashdaZunde/status/1710214957667602608?t=xy3XFtoUUtAKPSF-2XubRA&s=19
View: https://youtu.be/u-bLUdrHL4U?si=rvm4TONJzXvrazjw
View attachment 2776407View attachment 2776409View attachment 2776410View attachment 2776411View attachment 2776412View attachment 2776413View attachment 2776414
Alimuachia nani? Punguza upumbavu wewe ,90% ya miradi hapo imeanza mwaka 2021/2022 na 2023/24 baada Magufuli Kufa.Magufulia aliacha miradi hiyo ikiendelea akiwa na nia ya kuunganisha nchi yote kwa usafiri wa anga. Ndiyo maana alikuwa akinunua ndege na vile vile kujenga viwanja kila mkoa. Alikosea tu kuhamisha ujenzi wa kiwanja cha Geita na kukiweka karibu na nyumbani kwao Chato na kukipa jina la kijiji chake Chato.
Hujaona Tanga kwenye List? Comment ya progress ipo humu Jukwaani pitia ukurasa mmja Baada ya mwingine.Tanga na lind je ?
Safi kazi nzuriHujaona Tanga kwenye List? Comment ya progress ipo humu Jukwaani pitia ukurasa mmja Baada ya mwingine.
Lindi kuja uwanja wa Songo Songo
Uwe unasoma na kuelewa badala ya kukurupuka.Mkuu hata uwanja wa ndege wa Songwe unataka kusema umejengwa na Mama?
Hata kama unalipwa kuisifia Serikali ya awamu ya 6 basi jitahidi kumpa credit Mtangulizi wake yaani JPM.
Huo uwanja ulianza ujenzi awamu ya 4 then JPM akaja kuukamilisha.
Nimeanza kuutumia tangu mwaka 2020 kwa safari za Mbeya- Dsm, Dsm - Mbeya
Hata kama Mzee hawezi kuongea kutokana na kulala mauti lakini aliyoyafanya yanajieleza na ushahidi upo.
Thibitisha hoja yakoKuna tofauti ya viwanja vya ndege na "airstrip", vingi unavyovyiita viwanja vya ndege ni airstrip tu.