Anga la Tanzania ya Samia linazidi kufunguka. Bado mikoa 7 tu kupata Uwanja wa Kisasa wa Ndege

Naendelea kuwakumbusha kazi nzuri na ya kutukuka inayofanywa na Serikali ya awamu ya 6 Chini ya Mama wa Vitendo Rais Dr Samia.

Serikali ya mama imekamilisha ujenzi wa viwanja kadhaa vya ndege vikiweno vifuatavyo;
  • Songwe Airport Mbeya
  • Songea Airport Ruvuma
  • Chato Airport Geita
  • Dodoma Airport
Kazi ya ujenzi na ukarabati wa viwanja unaendelea Kwenye Mikoa 11 ambapo zipo katika hatua mbalimbali
  • Msalato International Airport-Dodoma
  • Arusha Airport
  • Moshi Airport
  • Mwanza Airport
  • Shinyanga Airport
  • Sumbawanga Airport
  • Musoma Airport
  • Mpanda Airport
  • Mtwara Airport
  • Kigoma Airport
  • Iringa Airport
  • Tanga Airport
  • Mtemere Airport -Nyerere National park
  • Kahama Airport
Mikoa ambayo haina Viwanja vya ndege vyenye hadhi ni

Singida
Manyara
Njombe
Simiyu
Lindi
Songwe

My Take
Namba zinajieleza Kila mtu Morogoro Iko reserved Kwa sababu za kiusalama ingawa Ina uwanja wa Kijeshi.

View: https://twitter.com/RashdaZunde/status/1710214957667602608?t=xy3XFtoUUtAKPSF-2XubRA&s=19

View: https://youtu.be/u-bLUdrHL4U?si=rvm4TONJzXvrazjw

View attachment 2776407View attachment 2776409View attachment 2776410View attachment 2776411View attachment 2776412View attachment 2776413View attachment 2776414

View: https://www.instagram.com/p/C0WAPyuMsR-/?igshid=NmJiYWZiY2E0Mg==
 
Kongole JPM kwa kuanzisha hii miradi yote na kuitengea pesa zote. JPM hakuwa mtu wa kawaida kwenye hii Nchi. Mungu amuweke pahali pema peponi kwa kweli.
 
Naendelea kuwakumbusha kazi nzuri na ya kutukuka inayofanywa na Serikali ya awamu ya 6 Chini ya Mama wa Vitendo Rais Dr Samia.

Serikali ya mama imekamilisha ujenzi wa viwanja kadhaa vya ndege vikiweno vifuatavyo;
  • Songwe Airport Mbeya
  • Songea Airport Ruvuma
  • Chato Airport Geita
  • Dodoma Airport
Kazi ya ujenzi na ukarabati wa viwanja unaendelea Kwenye Mikoa 11 ambapo zipo katika hatua mbalimbali
  • Msalato International Airport-Dodoma
  • Arusha Airport
  • Moshi Airport
  • Mwanza Airport
  • Shinyanga Airport
  • Sumbawanga Airport
  • Musoma Airport
  • Mpanda Airport
  • Mtwara Airport
  • Kigoma Airport
  • Iringa Airport
  • Tanga Airport
  • Mtemere Airport -Nyerere National park
  • Kikoboga Airport Mikumi NP
  • Ruaha NP Airport
  • Mikumi NP Airport
  • Kahama Airport
Mikoa ambayo haina Viwanja vya ndege vyenye hadhi ni

Singida
Manyara
Njombe
Simiyu
Lindi
Songwe

My Take
Namba zinajieleza Kila mtu Morogoro Iko reserved Kwa sababu za kiusalama ingawa Ina uwanja wa Kijeshi.

View: https://twitter.com/RashdaZunde/status/1710214957667602608?t=xy3XFtoUUtAKPSF-2XubRA&s=19

View: https://youtu.be/u-bLUdrHL4U?si=rvm4TONJzXvrazjw

View attachment 2776407View attachment 2776409View attachment 2776410View attachment 2776411View attachment 2776412View attachment 2776413View attachment 2776414

View: https://www.instagram.com/p/C09D8Z8KkKr/?igshid=NmJiYWZiY2E0Mg==
 
Naendelea kuwakumbusha kazi nzuri na ya kutukuka inayofanywa na Serikali ya awamu ya 6 Chini ya Mama wa Vitendo Rais Dr Samia.

Serikali ya mama imekamilisha ujenzi wa viwanja kadhaa vya ndege vikiweno vifuatavyo;
  • Songwe Airport Mbeya
  • Songea Airport Ruvuma
  • Chato Airport Geita
  • Dodoma Airport
Kazi ya ujenzi na ukarabati wa viwanja unaendelea Kwenye Mikoa 11 ambapo zipo katika hatua mbalimbali
  • Msalato International Airport-Dodoma
  • Arusha Airport
  • Moshi Airport
  • Mwanza Airport
  • Shinyanga Airport
  • Sumbawanga Airport
  • Musoma Airport
  • Mpanda Airport
  • Mtwara Airport
  • Kigoma Airport
  • Iringa Airport
  • Tanga Airport
  • Mtemere Airport -Nyerere National park
  • Kikoboga Airport Mikumi NP
  • Ruaha NP Airport(2 Airports)
  • Kahama Airport
Mikoa ambayo haina Viwanja vya ndege vyenye hadhi ni

Singida
Manyara
Njombe
Simiyu
Lindi
Songwe

My Take
Namba zinajieleza Kila mtu Morogoro Iko reserved Kwa sababu za kiusalama ingawa Ina uwanja wa Kijeshi.

View: https://twitter.com/RashdaZunde/status/1710214957667602608?t=xy3XFtoUUtAKPSF-2XubRA&s=19

View: https://youtu.be/u-bLUdrHL4U?si=rvm4TONJzXvrazjw

View attachment 2776407View attachment 2776409View attachment 2776410View attachment 2776411View attachment 2776412View attachment 2776413View attachment 2776414

View: https://www.instagram.com/p/C1ACJPEKNbD/?igshid=NmJiYWZiY2E0Mg==
 
Magufuli aliacha miradi hiyo ikiendelea akiwa na nia ya kuunganisha nchi yote kwa usafiri wa anga. Ndiyo maana alikuwa akinunua ndege na vile vile kujenga viwanja kila mkoa. Alikosea tu kuhamisha ujenzi wa kiwanja cha Geita na kukiweka karibu na nyumbani kwao Chato na kukipa jina la kijiji chake Chato.
 
Magufulia aliacha miradi hiyo ikiendelea akiwa na nia ya kuunganisha nchi yote kwa usafiri wa anga. Ndiyo maana alikuwa akinunua ndege na vile vile kujenga viwanja kila mkoa. Alikosea tu kuhamisha ujenzi wa kiwanja cha Geita na kukiweka karibu na nyumbani kwao Chato na kukipa jina la kijiji chake Chato.
Alimuachia nani? Punguza upumbavu wewe ,90% ya miradi hapo imeanza mwaka 2021/2022 na 2023/24 baada Magufuli Kufa.

Mfano viwanja vyote 4 vinavyojengwa kwenye Hifadhi za Taifa chini ya project ya Regrow viliachwa na Magufuli wa wapi?

Ukiacha uwanja wa Iringa,Songea na Musoma vingine vyote vimeanza na Samia.
 
Mkuu hata uwanja wa ndege wa Songwe unataka kusema umejengwa na Mama?

Hata kama unalipwa kuisifia Serikali ya awamu ya 6 basi jitahidi kumpa credit Mtangulizi wake yaani JPM.

Huo uwanja ulianza ujenzi awamu ya 4 then JPM akaja kuukamilisha.

Nimeanza kuutumia tangu mwaka 2020 kwa safari za Mbeya- Dsm, Dsm - Mbeya

Hata kama Mzee hawezi kuongea kutokana na kulala mauti lakini aliyoyafanya yanajieleza na ushahidi upo.
 
Uwe unasoma na kuelewa badala ya kukurupuka.

Uwanja wa ndege wa Songwe umekamilika? Anaeukamilisha ni nani?

Unajua Samia ameingiza pesa kiasi gani hapo?

Jengo jipya la Abiria limeanza kufanya kazi? Anaelikamilsha ni nani kama sio Samia?

Aliuetoa pesa za kufunga taa Ili uwanja utumike usiku na mchana ni nani kama sio Samia?

Aliuetoa pesa za kuanza Ujenzi wa Cold room Songwe Airport ni nani kama sio Samia?

View: https://youtu.be/CcFI8GA9tiQ?si=zUmi8337ICfh9C8r

Yote hayo yamefanywa na Rais Samia Baada ya waliotangulia kuutelekeza.

Mwisho aliyekwambia huo uwanja wa Songwe ulikamilika ni nani hata kama ulianza kuutumia 2020? Unafahamu kwamba umeongezwa urefu wa runway na kufumua tabaka la kwanza baada ya kujengwa chini ya kiwango?

Sikiliza abiria hapa wakitoa ushuhuda

View: https://youtu.be/f9qjUPnVbII?si=RH45jH-jdS4wPiFD
 
Njombe Airport is loading,Samia hana kazi mbovu.👇

UWANJA MKUBWA WA NDEGE KUJENGWA NJOMBE

Tarehe Iliyowekwa: October 28th, 2023
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt Philip Isdor Mpango, amesema serikali imepanga kujenga uwanja mkubwa wa ndege Mkoani Njombe.

Mheshimiwa Mpango ametoa kauli hiyo ya serikali Oktoba 28,2023 wakati akihitimisha maonesho ya nne ya Shirika la kuhudumia Viwanda Vidogo SIDO yanayofanyika kitaifa mkoani Njombe.

Amesema serikali inatambua fursa mbalimbali zilizopo mkoani Njombe na umuhimu wa usafiri na usafirishaji hivyo serikali imeamua kujenga uwanja mkubwa wa kisasa wa ndege Mkoani Njombe.

Mheshimiwa makamu wa Rais amesema kuwa ujenzi wa uwanja wa ndege Njombe utahusisha ujenzi njia ya kurukia ndege yenye urefu wa kilometa Tatu (3), Jengo kubwa la abiria na Jengo maalumu kwa ajili yakuhifadhi bidhaa zinazoharibika haraka.

"Sisi serikali tunaamini uwepo wa usafiri wa uhakika utachangia kuinua na kukuza uzalishaji viwandani na mashambani lakini pia kuinua sekta ya utalii mkoani Njombe."Alisema Mheshimiwa Mpango.

Uwanja wa ndege utakao jengwa mkoani Njombe utakuwa na uwezo wa kupokea ndege kubwa za abiria pamoja na ndege za mizigo.
 
Kuna tofauti ya viwanja vya ndege na "airstrip", vingi unavyovyiita viwanja vya ndege ni airstrip tu.
 
Back
Top Bottom