Anga la Tanzania ya Samia linazidi kufunguka. Bado mikoa 7 tu kupata Uwanja wa Kisasa wa Ndege

Kwa ndege zipi
 
\Tanzania ya nani? Muuza raslimali na kuruhusu wageni kuiba raslimali kupitia air strip? Tunahitaji Tz Genz ili kutia akili hawa chawa ngurumembe wajielewe
 
Ulishawahi kupanda ndege? Au tuwaachie akina Mwijaku
Pambana upande. Ukiacha kupiga strory viniweni za mpira wa yanga na simba nawe utapanda. Pia acha kupiga domo la siasa daily ndege utapanda. Pili choma vyeti vyako vya academics ili uaassume kwamba hujasoma utapambana vizuri
 
Kinachoshangaza, licha ya viwanja vyote hivyo kujengwa, NONGWA ipo kwenye Kiwanja Cha Ndege cha Chato!!!
 
Kinachoshangaza, licha ya viwanja vyote hivyo kujengwa, NONGWA ipo kwenye Kiwanja Cha Ndege cha Chato!!!
Kile kimejengwa Kijijini hakuna Abiria kule na sio Makao Makuu ya Mkoa na Wala hakuna ishu yeyote specific ya kiuchumi inayohitaji uwanja.

Mbaya zaidi ni uwanja mkubwa kuliko mahitaji,so nongwa lazima Kwa sababu ni matumizi mabaya ya pesa za walipakodi.
 
\Tanzania ya nani? Muuza raslimali na kuruhusu wageni kuiba raslimali kupitia air strip? Tunahitaji Tz Genz ili kutia akili hawa chawa ngurumembe wajielewe
Ndio huyo huyo ,Tanzania ya Samia inazidi kung'aa na kufunguka kama unavyoona
 
Ahahahahaha! Kwanini KIA wataalamu wa masuala ya viwanja vya ndege wanaiita "Kilimanjaro International White Elephant Airport? Ahahahahaha!!
 
Mkoa wa Geita kuna Airport Geita na Airport Chato, hii ya pili hii inapatikana Kijiji cha Chato nyumbani kwa dikteta (kwa sasa inatumika kukaushia nafaka).
Mkuu, kwani kwenye kiwanja hicho cha Chato ambacho kwa sasa wananchi wanaanikia nafaka wasikibadilishe matumiza na kujenga majengo mengine yenye tija kwa Taifa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…