Anga la Tanzania ya Samia linazidi kufunguka. Bado mikoa 7 tu kupata Uwanja wa Kisasa wa Ndege

Anga la Tanzania ya Samia linazidi kufunguka. Bado mikoa 7 tu kupata Uwanja wa Kisasa wa Ndege

Mwaka huu simuoni mwanasiasa atakayeweza kumuondoa Rais SSH katika kiti chake.

Nahisi CCM wataucheza mchezo wa kisiasa wa kumpa nafasi mgombea mwingine ili kimataifa ionekane uchaguzi ulifanyika na demokrasia imekuwepo kwenye uchaguzi, lakini kwa haki kabisa SSH hana mpinzani.
Hawana hoja itabidi watunge uzushi na fitini vinginevyo wataongea nini Sasa 😆😆
 
Back
Top Bottom