ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawana hoja itabidi watunge uzushi na fitini vinginevyo wataongea nini Sasa 😆😆Mwaka huu simuoni mwanasiasa atakayeweza kumuondoa Rais SSH katika kiti chake.
Nahisi CCM wataucheza mchezo wa kisiasa wa kumpa nafasi mgombea mwingine ili kimataifa ionekane uchaguzi ulifanyika na demokrasia imekuwepo kwenye uchaguzi, lakini kwa haki kabisa SSH hana mpinzani.
Kama ni ya Watanzania ndio inaondoa jukumu la Rais?Tanzania ni ya Watanzania acha kutumika kauli za waramba nyayo.
Kampuni binafsi zipoLakini, je... Tuna ndege nyingi za kutua katika viwanja hivi tunavyojenga...?
Ngoja tusubiri tuone.... Labda na nauli zitashuka...Kampuni binafsi zipo