Anga la Tanzania ya Samia linazidi kufunguka. Bado mikoa 7 tu kupata Uwanja wa Kisasa wa Ndege

Anga la Tanzania ya Samia linazidi kufunguka. Bado mikoa 7 tu kupata Uwanja wa Kisasa wa Ndege

Naendelea kuwakumbusha kazi nzuri na ya kutukuka inayofanywa na Serikali ya awamu ya 6 Chini ya Mama wa Vitendo Rais Dr Samia.

Serikali ya mama imekamilisha ujenzi wa viwanja kadhaa vya ndege vikiweno vifuatavyo;
  • Songwe Airport Mbeya
  • Songea Airport Ruvuma
  • Chato Airport Geita
  • Dodoma Airport
Kazi ya ujenzi na ukarabati wa viwanja 16 kwenye Mikoa 11 zinaendelea na ambapo zipo katika hatua mbalimbali
  • Msalato International Airport-Dodoma
  • Arusha Airport
  • Moshi Airport
  • Mwanza Airport
  • Shinyanga Airport
  • Sumbawanga Airport
  • Musoma Airport
  • Mpanda Airport
  • Mtwara Airport
  • Kigoma Airport
  • Iringa Airport
  • Tanga Airport
  • Mtemere Airport -Nyerere National park
  • Kikoboga Airport Mikumi NP
  • Ruaha NP Airport(2 Airports)
  • Kahama Airport
Maandalizi ya kuanza Ujenzi wa viwanja Mikoa ifuatayo yanaendelea na Yako kwenye hatua mbalimbali za utekelezwaji 👇👇

Singida
Manyara
Njombe
Simiyu
Lindi
Songwe
Serengeti
View attachment 2988504

My Take
Namba zinajieleza Kila mtu Morogoro Iko reserved Kwa sababu za kiusalama ingawa Ina uwanja wa Kijeshi.

View: https://twitter.com/RashdaZunde/status/1710214957667602608?t=xy3XFtoUUtAKPSF-2XubRA&s=19
View attachment 2931212

Mkuu umeusahu ule uwanja wa mkubwaa wa kimataifa unao endelea kujengwa kule katikati ya nchi
 
Ama kweli " ukanjanja" hautoisha Tanzania,yaani media kabisa inaandika hekari kweli?? Hivi kuna neno hekari kwenye lugha ya kiswahili?

Acre ni ekari..
Yaani mambo ni kinyumenyume tu..sekta ya habari na utangazaji ambayo hutakiwa kuwa na watu wenye upeo na uelewa mkubwa ndiyo imekuwa kimbilio la "vilaza" na "mazwazwa" ndio unakuta hali kama hii ya ukanjanja kutamalaki
Tanzagiza
Jadili hoja
View: https://www.instagram.com/p/DFuW3_loox9/?igsh=MWd4bW8wcmQ4ZXA2cA==
 
Naendelea kuwakumbusha kazi nzuri na ya kutukuka inayofanywa na Serikali ya awamu ya 6 Chini ya Mama wa Vitendo Rais Dr Samia.

Serikali ya mama imekamilisha ujenzi wa viwanja kadhaa vya ndege vikiweno vifuatavyo;
  • Songwe Airport Mbeya
  • Songea Airport Ruvuma
  • Chato Airport Geita
  • Dodoma Airport
Kazi ya ujenzi na ukarabati wa viwanja 16 kwenye Mikoa 11 zinaendelea na ambapo zipo katika hatua mbalimbali
  • Msalato International Airport-Dodoma
  • Arusha Airport
  • Moshi Airport
  • Mwanza Airport
  • Shinyanga Airport
  • Sumbawanga Airport
  • Musoma Airport
  • Mpanda Airport
  • Mtwara Airport
  • Kigoma Airport
  • Iringa Airport
  • Tanga Airport
  • Mtemere Airport -Nyerere National park
  • Kikoboga Airport Mikumi NP
  • Ruaha NP Airport(2 Airports)
  • Kahama Airport
Maandalizi ya kuanza Ujenzi wa viwanja Mikoa ifuatayo yanaendelea na Yako kwenye hatua mbalimbali za utekelezwaji 👇👇

Singida
Manyara
Njombe
Simiyu
Lindi
Songwe
Serengeti
View attachment 2988504

My Take
Namba zinajieleza Kila mtu Morogoro Iko reserved Kwa sababu za kiusalama ingawa Ina uwanja wa Kijeshi.

View: https://twitter.com/RashdaZunde/status/1710214957667602608?t=xy3XFtoUUtAKPSF-2XubRA&s=19
View attachment 2931212

Ni ujinga kuwekeza kwenye usafiri wa anga locally. Sidhani kama kuna zaidi ya Watanzania hata 4 million wanameshapanda ndege Tanzania. Hiyo pesa bora wangewekeza kwenye barabara au kilimo!!
 
Back
Top Bottom