ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujui kufikiria ulichoulizwa?Hujui kusoma?
Kinasahaylikaje wakati upanuzi na ujenzi wa Jengo la Abiria na kufunga taa unaendelea?Kiwanja cha Kigoma kinasahaulika sana licha ya kuwa muhimu kimataifa. Jengo la abiria naona kama limekwama na shughuli za ujenzi zimesimama au haziendi kwa kasi. 🤔
Kinasahaylikaje wakati upanuzi na ujenzi wa Jengo la Abiria na kufunga taa unaendelea?
Samia hajasahau sehemu yeyote ya Tanzania 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DHNWE5ioXea/?igsh=MW5rZnd4MzZ3NHFwag==
Sijaona updates ya progress Kwa Sasa ila by 8 months ago situation ilikuwa hivi 👇 👇Ok. Kwa hiyo kimefikia hatua gani ya majenzi kwa asilimia ya kazi yote inayotarajiwa? Unaweza kutupia hata picha tuone kuwa kiwanja cha Kigoma hakijasahaulika ukilinganisha na ratiba ya viwanja vingine viliyoanza kujengwa karibuni?
Ok. Kwa hiyo kimefikia hatua gani ya majenzi kwa asilimia ya kazi yote inayotarajiwa? Unaweza kutupia hata picha tuone kuwa kiwanja cha Kigoma hakijasahaulika ukilinganisha na ratiba ya viwanja vingine viliyoanza kujengwa karibuni?
Sijaona updates ya progress Kwa Sasa ila by 8 months ago situation ilikuwa hivi 👇 👇
View: https://youtu.be/3ikywg3xX1g?feature=shared
Hii hapa taarifa ya karibuni ikikuumbua 😂😂👇👇Hakuna kinachoendelea pale kwa sasa, ndio maana hata Mbarawa wiki chache zilizopita hakutia mkwara pale.
Punguza wenge ,Samia anawapwlekea maendeleo Kila Kona Kila Mkoa 👇👇Hakuna kinachoendelea pale kwa sasa, ndio maana hata Mbarawa wiki chache zilizopita hakutia mkwara pale.
Hii hapa taarifa ya karibuni ikikuumbua 😂😂👇👇
View: https://x.com/WizarayaUC/status/1882157671429943357?t=QV90hvtzpvgyFXAq2WNpeQ&s=19
Wewe ni mpuuzi na mjinga,hii taarifa ya Wizara ni lini?Ukweli ni kuwa uwanja wa ndege wa Kigoma umesimama ujenzi kitambo. Hiyo ndio sababu hakuna mrejesho wa maendeleo ya ujenzi. Unadhani kauli ya watu wafanye kazi usiku na mchana unamaanisha nini kama mradi hauko nyuma ya wakati?
Sasa mbona unaanza kutukana ? Jenga hoja kwa kuzingatia ukweli kwamba mradi umesimama.Wewe ni mpuuzi na mjinga,hii taarifa ya Wizara ni lini?
Unakera soma maelezo ya link zangu ,unatumia hisia badala ya evidenceSasa mbona unaanza kutukana ? Jenga hoja kwa kuzingatia ukweli kwamba mradi umesimama.
Umekiri hapo mwanzo kuwa hukuwa na update za hivi karibuni, unanibishia mimi ambaye nimepita hiyo site wiki tatu zilizopita na kushuhudia kuwa hakuna kazi.. Muulize Mbarawa akupe taarifa ulinganishe na ninachokisema basi.
Kwa vipi? Mimi nimekukera kwa lipi, hadi kustahili kuitwa mpuuzi mjinga? Ninachokiongea nimekiona kwa macho tena kipindi hicho hicho waziri yuko ziarani. Ni wapi hizo picha ulizobandika zinaonesha kuwa na maendeleo ya ujenzi zaidi picha iliyopigwa miezi minane iliyopita? Tena miezi hiyo minane nyuma nilkuwepo wakati unajengwa msingi! 🤔Unakera soma maelezo ya link zangu ,unatumia hisia badala ya evidence
Najiuliza, hivi tungekuwa tumekaa mahali tunaongelea hili suala uso kwa uso, ungenitusi kwa kuwa tumetofautiana mtazamo au huu ni ujasiri wa nyuma ya keyboard? 😲Unakera soma maelezo ya link zangu ,unatumia hisia badala ya evidence