ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
-
- #481
Hujui kufikiria ulichoulizwa?Hujui kusoma?
Kinasahaylikaje wakati upanuzi na ujenzi wa Jengo la Abiria na kufunga taa unaendelea?Kiwanja cha Kigoma kinasahaulika sana licha ya kuwa muhimu kimataifa. Jengo la abiria naona kama limekwama na shughuli za ujenzi zimesimama au haziendi kwa kasi. π€
Ok. Kwa hiyo kimefikia hatua gani ya majenzi kwa asilimia ya kazi yote inayotarajiwa? Unaweza kutupia hata picha tuone kuwa kiwanja cha Kigoma hakijasahaulika ukilinganisha na ratiba ya viwanja vingine viliyoanza kujengwa karibuni?Kinasahaylikaje wakati upanuzi na ujenzi wa Jengo la Abiria na kufunga taa unaendelea?
Samia hajasahau sehemu yeyote ya Tanzania ππ
View: https://www.instagram.com/p/DHNWE5ioXea/?igsh=MW5rZnd4MzZ3NHFwag==
Sijaona updates ya progress Kwa Sasa ila by 8 months ago situation ilikuwa hivi π πOk. Kwa hiyo kimefikia hatua gani ya majenzi kwa asilimia ya kazi yote inayotarajiwa? Unaweza kutupia hata picha tuone kuwa kiwanja cha Kigoma hakijasahaulika ukilinganisha na ratiba ya viwanja vingine viliyoanza kujengwa karibuni?
Ok. Kwa hiyo kimefikia hatua gani ya majenzi kwa asilimia ya kazi yote inayotarajiwa? Unaweza kutupia hata picha tuone kuwa kiwanja cha Kigoma hakijasahaulika ukilinganisha na ratiba ya viwanja vingine viliyoanza kujengwa karibuni?
Hakuna kinachoendelea pale kwa sasa, ndio maana hata Mbarawa wiki chache zilizopita hakutia mkwara pale.Sijaona updates ya progress Kwa Sasa ila by 8 months ago situation ilikuwa hivi π π
View: https://youtu.be/3ikywg3xX1g?feature=shared
Hii hapa taarifa ya karibuni ikikuumbua ππππHakuna kinachoendelea pale kwa sasa, ndio maana hata Mbarawa wiki chache zilizopita hakutia mkwara pale.
Punguza wenge ,Samia anawapwlekea maendeleo Kila Kona Kila Mkoa ππHakuna kinachoendelea pale kwa sasa, ndio maana hata Mbarawa wiki chache zilizopita hakutia mkwara pale.
Ukweli ni kuwa uwanja wa ndege wa Kigoma umesimama ujenzi kitambo. Hiyo ndio sababu hakuna mrejesho wa maendeleo ya ujenzi. Unadhani kauli ya watu wafanye kazi usiku na mchana unamaanisha nini kama mradi hauko nyuma ya wakati?Hii hapa taarifa ya karibuni ikikuumbua ππππ
View: https://x.com/WizarayaUC/status/1882157671429943357?t=QV90hvtzpvgyFXAq2WNpeQ&s=19
Wewe ni mpuuzi na mjinga,hii taarifa ya Wizara ni lini?Ukweli ni kuwa uwanja wa ndege wa Kigoma umesimama ujenzi kitambo. Hiyo ndio sababu hakuna mrejesho wa maendeleo ya ujenzi. Unadhani kauli ya watu wafanye kazi usiku na mchana unamaanisha nini kama mradi hauko nyuma ya wakati?
Sasa mbona unaanza kutukana ? Jenga hoja kwa kuzingatia ukweli kwamba mradi umesimama.Wewe ni mpuuzi na mjinga,hii taarifa ya Wizara ni lini?
Unakera soma maelezo ya link zangu ,unatumia hisia badala ya evidenceSasa mbona unaanza kutukana ? Jenga hoja kwa kuzingatia ukweli kwamba mradi umesimama.
Umekiri hapo mwanzo kuwa hukuwa na update za hivi karibuni, unanibishia mimi ambaye nimepita hiyo site wiki tatu zilizopita na kushuhudia kuwa hakuna kazi.. Muulize Mbarawa akupe taarifa ulinganishe na ninachokisema basi.
Kwa vipi? Mimi nimekukera kwa lipi, hadi kustahili kuitwa mpuuzi mjinga? Ninachokiongea nimekiona kwa macho tena kipindi hicho hicho waziri yuko ziarani. Ni wapi hizo picha ulizobandika zinaonesha kuwa na maendeleo ya ujenzi zaidi picha iliyopigwa miezi minane iliyopita? Tena miezi hiyo minane nyuma nilkuwepo wakati unajengwa msingi! π€Unakera soma maelezo ya link zangu ,unatumia hisia badala ya evidence
Najiuliza, hivi tungekuwa tumekaa mahali tunaongelea hili suala uso kwa uso, ungenitusi kwa kuwa tumetofautiana mtazamo au huu ni ujasiri wa nyuma ya keyboard? π²Unakera soma maelezo ya link zangu ,unatumia hisia badala ya evidence