Anga la Tanzania ya Samia linazidi kufunguka. Bado mikoa 7 tu kupata Uwanja wa Kisasa wa Ndege

Tanga imeangushwa tu ni uwanja wa zamani ilikua huhitaji kuenda Dar ukitaka kusafiri kwenda majuu, East Africa Airways inakupitia hapa Tanga unaenda kuunganishia Nairobi,
Serikali haiwezi kujenga Tanga wala hawana mapango wa huo mkoa miaka yote, leo uwanja wa Tnga eti jiji unazidiwa hata na wa songea, Tabora , kigoma
 
Mwanza airport mkataba wamesaini mwezi sasa hakuna kinachofanyika site utapeli mtupu wa Mzawa co ltd,TAA na NSSF nao wameingia mitini
 
Mwanza airport mkataba wamesaini mwezi sasa hakuna kinachofanyika site utapeli mtupu wa Mzawa co ltd,TAA na NSSF nao wameingia mitini
Uliwahi ona wapi wakisaini mkataba kazi inaanza mda huo huo?

Kuna miezi 3 ya mobilisation Kwa mujibu wa mkataba
 
Serikali haiwezi kujenga Tanga wala hawana mapango wa huo mkoa miaka yote, leo uwanja wa Tnga eti jiji unazidiwa hata na wa songea, Tabora , kigoma
Sio kweli Kuna mradi hapo wa Upanuzi na ukarabati wa uwanja wa ndege Tanga
 
Arusha hatuna airport. Tuna airstrip. Labda watafute eneo huko monduli wajenge kipya ila hiki hapa kisongo ni uongo. Eneo dogo sana kuwa airport.
 
Hakika Samia anastahili Tuzo sio Kwa utitiri huu wa miradi ya Viwanja vya ndege inayoendelea Tanzania nzima.

View: https://www.instagram.com/p/C7vv6F4PBfC/?igsh=cTdjNmR6b2E4MWhw
 

View: https://www.instagram.com/p/C7wiF3-i8Bb/?igsh=bjdueWlkemQxdTY2
 
Jengo la abiria uwanja wa ndege Mwanza tunaambiwa linajengwa ili liwe la kimataifa na kampuni ya Taifa Mzawa mining imeishia kuwa ngojera tangu kusaini mkataba kwa vishindo
 
Kujanga Iringa airport na Ruaha ni upotevu wa hela tu, tungeamua kufanya kimoja cha iringa. Huko ruaha wanataka wawe wanaiba nini?

Serikali ijitahidi sasa kuvutia wawekezaji kwenye sekta ya usafiri wa anga, maana tunaenda kuwa na viwanja bora. Ila kutegemea ATCL viwanja vitakuwa magofu na hizi kuwa project mufilisi kabisa.
 
Viwanja vya ndege vya ndani ya Hifadhi Huwa ni vidogo,havichukuo ndege kubwa
 
Sisi Chadena na CCM wapinzaji wa jiwe tulisema haya ni maendeleo ya city hayana maana,ni upotevu wa fedha za uma.Wananchi wanahitaji madarasa,,shule maji..Mambo ya viwanja vya ndege kuke gwa Moshi,Arusha,,sijui iringa ni ushamba wa magufuri.Au ni mesema uwongo jamani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…