Anga la Tanzania ya Samia linazidi kufunguka. Bado mikoa 7 tu kupata Uwanja wa Kisasa wa Ndege

Anga la Tanzania ya Samia linazidi kufunguka. Bado mikoa 7 tu kupata Uwanja wa Kisasa wa Ndege

Naendelea kuwakumbusha kazi nzuri na ya kutukuka inayofanywa na Serikali ya awamu ya 6 Chini ya Mama wa Vitendo Rais Dr Samia.

Serikali ya mama imekamilisha ujenzi wa viwanja kadhaa vya ndege vikiweno vifuatavyo;
  • Songwe Airport Mbeya
  • Songea Airport Ruvuma
  • Chato Airport Geita
  • Dodoma Airport
Kazi ya ujenzi na ukarabati wa viwanja 16 kwenye Mikoa 11 zinaendelea na ambapo zipo katika hatua mbalimbali
  • Msalato International Airport-Dodoma
  • Arusha Airport
  • Moshi Airport
  • Mwanza Airport
  • Shinyanga Airport
  • Sumbawanga Airport
  • Musoma Airport
  • Mpanda Airport
  • Mtwara Airport
  • Kigoma Airport
  • Iringa Airport
  • Tanga Airport
  • Mtemere Airport -Nyerere National park
  • Kikoboga Airport Mikumi NP
  • Ruaha NP Airport(2 Airports)
  • Kahama Airport
Maandalizi ya kuanza Ujenzi wa viwanja Mikoa ifuatayo yanaendelea na Yako kwenye hatua mbalimbali za utekelezwaji 👇👇

Singida
Manyara
Njombe
Simiyu
Lindi
Songwe
Serengeti
View attachment 2988504

My Take
Namba zinajieleza Kila mtu Morogoro Iko reserved Kwa sababu za kiusalama ingawa Ina uwanja wa Kijeshi.

View: https://twitter.com/RashdaZunde/status/1710214957667602608?t=xy3XFtoUUtAKPSF-2XubRA&s=19
View attachment 2931212

Manyara tayari kazi imeanza 👇 👇

View: https://www.instagram.com/p/DD_0PDgtQQv/?igsh=cDFjcm5wY2RtZmFo
 
Back
Top Bottom