[emoji23] [emoji23] [emoji23]Leo nipo macho mpak mods wafunge milango wao
Najua uck WA leo mrefu San tena San
Ikawa usiku
Ikawa asubuhi hatimae mchana nao ukafika [emoji27] [emoji27] [emoji26]
Hakiii Mungu anakuonasteve mmejifungia na shunie nini kule kwake nako hola kama mpo honeymoon mtuambie jamani
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Na hatimae itafika jioni nao usiku utakuja tena
Hapana chezea arostoo[emoji1] [emoji1][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umetisha hahah
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Mkuu ungenalizia mbio zako kwa hisia tu..yaani kama muvi la kichina vile mnadundana mapanga mkiona mpo droo mnaweka mapanga chini mnafunga macho mnapigana kwa mawazo hadi mmoja anadanja
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Hakiii Mungu anakuona
Hahaha[emoji2] mkuu nilichanganya mafile hapaIshi...!!! Nikadhani ametupia! ASA unashukuru nn?
Na huu mwaka mpya mmmh kitu full picture kwenye kificho. Mkrupushe Steve aje huku mi hapa nahisi kizunguzungu ila story ikija napona kabisa. Nataka kujua mbabe wangu Jona anaendeleajeHakiii Mungu anakuona
Aseee mnapata dhambi sanaNa huu mwaka mpya mmmh kitu full picture kwenye kificho. Mkrupushe Steve aje huku mi hapa nahisi kizunguzungu ila story ikija napona kabisa. Nataka kujua mbabe wangu Jona anaendeleaje
Hahaaaa shunie usichukulie serious bwana Steve katuweka benchi sasa huku Hata utani usiwepo jamaniAseee mnapata dhambi sana
Steve nakuundia kamati ya uchunguziUzi huu utakuwa mahususi kwa ajili ya kutuma simulizi hizi mbili kwa wapenzi wasomaji wangu. Simulizi hizo nazo ni: ANGA LA WASHENZI na JOANA ANAONA KITU USIKU mpaka vikomo vyake.
Karibu tufurahie.
Najua sipo serious tafuta simulizi nyingine wenzako wanatoa arosto huko mkufu wa malkia wa goshenHahaaaa shunie usichukulie serious bwana Steve katuweka benchi sasa huku Hata utani usiwepo jamani