Anga la washenzi na Joana anaona kitu usiku

Anga la washenzi na Joana anaona kitu usiku

Leo nipo macho mpak mods wafunge milango wao
Najua uck WA leo mrefu San tena San
 
steve mmejifungia na shunie nini kule kwake nako hola kama mpo honeymoon mtuambie jamani
 
Mkuu ungenalizia mbio zako kwa hisia tu..yaani kama muvi la kichina vile mnadundana mapanga mkiona mpo droo mnaweka mapanga chini mnafunga macho mnapigana kwa mawazo hadi mmoja anadanja
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]daaah arosto ya njia nyembamba imehamie kwa Anga la washenzi
 
Hakiii Mungu anakuona
Na huu mwaka mpya mmmh kitu full picture kwenye kificho. Mkrupushe Steve aje huku mi hapa nahisi kizunguzungu ila story ikija napona kabisa. Nataka kujua mbabe wangu Jona anaendeleaje
 
Uzi huu utakuwa mahususi kwa ajili ya kutuma simulizi hizi mbili kwa wapenzi wasomaji wangu. Simulizi hizo nazo ni: ANGA LA WASHENZI na JOANA ANAONA KITU USIKU mpaka vikomo vyake.


Karibu tufurahie.
Steve nakuundia kamati ya uchunguzi
 
Back
Top Bottom