Taratibu Mh, tunasubiri AntidoteHodii, hodii,....... hodi kwenye Anga la wenywe . Mpooo.?? Mbona kimya humu ndani......!!!?,
Nakuona online mkuu unasubir anga la wenyewe..!! Naona kama mda umesepa leo pia holaa. !!!Aisee aisee aisee...!
hahahhahaMpaka mda huu nakubal matokeo ngoja nilale, anga la watukutu mpaka kesho tena
ingekuwa poa ungepost muda huuLeo tunaendelea tena.
Waiting boss. [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]Leo tunaendelea tena.