Anga la washenzi na Joana anaona kitu usiku

Huyu bwana Jona hana mdigido naona story nzima hata kusema achangamshe akili kwa kidigika tu hakuna stoy za ujasusi bila mahaba na kudigidana haziendi vizuri
 
Reactions: ADK
sure
 
Huyu bwana Jona hana mdigido naona story nzima hata kusema achangamshe akili kwa kidigika tu hakuna stoy za ujasusi bila mahaba na kudigidana haziendi vizuri
Siandiki kwa mazoea. Kwangu hamna na itakuwa hivyo mpaka mwisho. Mimi si mtunzi wa machombezo. Na nakuhakikishia itakuwa nzuri.

Kaa hapa ushuhudie.
 
Stering huwa hafi kizembe kama alivyopatikana Alphonce. nimefurahi kuona Jona bado yupo hai. hasante Steve kwa story nzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…