SteveMollel
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 8,797
- 25,177
- Thread starter
-
- #1,201
Movie zinahitaji serious investment. Kwa bongo movie, ukiwapatia hii story, utapiga yowe!Jambo ambalo limekuwa likinishangaza sana.... Tanzania tunao watunzi mahiri sana.... tumeshindwaje kuziweka kwenye uhalisia yaani movie.
[emoji23] [emoji23] ulivyoshangaa mzee!hiyo kitu balaa yaani fire big up. steve wa mollel
Ni majanga matupu kwa upande wa Movie, ukiangalia 24 ya Jack Baeur, Royale Casino wenzetu wanajua kuigiza lakini hapa Bongo bado ni majanga matupuMovie zinahitaji serious investment. Kwa bongo movie, ukiwapatia hii story, utapiga yowe!
Inkoskazi... aliweka kumbukumbu ya kila aliyemuua kwenye shoka lake... huyu alikuwa Msolopaganzi[emoji2] [emoji2] [emoji2]Kaka, una copy ya hizo vitabu?!! Navitafuta sana kaka.
Aisee katika vitab nilivyowahi soma udogoni, machimbo ya mfalme Suleyman, Safari za Gulliver!!!!!!.....sitavisahau, nilikua najificha chumbani ili nisisumbuliwe, mpk wake wanipate..nishasogeza kurasa kadhaaa.. Kinasisimua mwanzo mwisho....Mkuu sikuwahi kuviona tena.... Nilikisoma miaka mingi sana.
Sema kweliHivi umegundua sijamaliza hata season one? [emoji4]
Kwan kipenzi umeona nimesema nimesema nimemaliza season ONE?Sema kweli
Nilijua ingeishia kama ya joanahKwan kipenzi umeona nimesema nimesema nimemaliza season ONE?
Hapana. Hii ni season.Nilijua ingeishia kama ya joanah
Sawa tivuHapana. Hii ni season.
Duh, kumbe uwe unatuwekea hata tatu kwa siku mkuuHapana. Hii ni season.
Shunie nafikiri anaweza kuwa nayo