Anga la washenzi na Joana anaona kitu usiku

Anga la washenzi na Joana anaona kitu usiku

Jambo ambalo limekuwa likinishangaza sana.... Tanzania tunao watunzi mahiri sana.... tumeshindwaje kuziweka kwenye uhalisia yaani movie.
Movie zinahitaji serious investment. Kwa bongo movie, ukiwapatia hii story, utapiga yowe!
 
Movie zinahitaji serious investment. Kwa bongo movie, ukiwapatia hii story, utapiga yowe!
Ni majanga matupu kwa upande wa Movie, ukiangalia 24 ya Jack Baeur, Royale Casino wenzetu wanajua kuigiza lakini hapa Bongo bado ni majanga matupu
 
Kaka, una copy ya hizo vitabu?!! Navitafuta sana kaka.
Inkoskazi... aliweka kumbukumbu ya kila aliyemuua kwenye shoka lake... huyu alikuwa Msolopaganzi[emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Mkuu sikuwahi kuviona tena.... Nilikisoma miaka mingi sana.
Aisee katika vitab nilivyowahi soma udogoni, machimbo ya mfalme Suleyman, Safari za Gulliver!!!!!!.....sitavisahau, nilikua najificha chumbani ili nisisumbuliwe, mpk wake wanipate..nishasogeza kurasa kadhaaa.. Kinasisimua mwanzo mwisho....
 
Back
Top Bottom