Ilankunda1234
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 4,841
- 4,797
Kwa hiyo kesho no mbili[emoji12] [emoji12] [emoji12]Nimetuma tatu kwakuwa leo ndo tunaanza msimu wa pili ila ratiba ni mbili mbili tu. Na ntakuja kila baada ya siku moja.
Pamoja wakuu.
Aseee ahsante sana tivuNimetuma tatu kwakuwa leo ndo tunaanza msimu wa pili ila ratiba ni mbili mbili tu. Na ntakuja kila baada ya siku moja.
Pamoja wakuu.
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Nimetuma tatu kwakuwa leo ndo tunaanza msimu wa pili ila ratiba ni mbili mbili tu. Na ntakuja kila baada ya siku moja.
Pamoja wakuu.
Khaaa uko haraka kama nini.....Masikini Marwa
Haya asanteeNimetuma tatu kwakuwa leo ndo tunaanza msimu wa pili ila ratiba ni mbili mbili tu. Na ntakuja kila baada ya siku moja.
Pamoja wakuu.
Ila ujue unanifatilia sanaKhaaa uko haraka kama nini.....
Vipi inaonekana nzuri[emoji15] [emoji15] [emoji15][emoji15] [emoji15] [emoji15]
Haya anyway no way ila ilipoishia saasa loh!!!
Lakini marwa na wewe kwanini ulitelezaaa?![emoji134]
Hata sikufuatiliii saaaaana kama kipindikile ulipokuwa na kale picha kengine.Ila ujue unanifatilia sana
Oooh kumbe basi avatar huwa naweka nipendazo huwa siweki kwa ajili ya kumfurahisha yeyoteHata sikufuatiliii saaaaana kama kipindikile ulipokuwa na kale picha kengine.
Sasa hivi nakutana na wewe tu kwa bahati mbaya.
Jina nalikumbuka lakini hicho ki avart chako sasa.
Rudisha kale kengine uone kama sitakuwa kama mkia...[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Avart gani hiyooo......
Haya endeleaOooh kumbe basi avatar huwa naweka nipendazo huwa siweki kwa ajili ya kumfurahisha yeyote
Una niniii na mm ebu nikuulize ninafanya biashara mpaka nisifiwe ebu endelea na mambo zako usiniquote kwa mambo za kijinga avatar avatar ndio nini nikiipenda mwenyewe inatosha ipende avatar yako tuHaya endelea
Avart kama nguo
Ukiipenda wenzio wasipoipenda utakuwa mtu wa maajabu duniani
Raha ya nguo uvae usifie kama mwanamke, sawa na avart weka usifiwe.
Sio unaweka li avart utazani mcheza movie za kutisha kama za aptokaliputo[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Aiseee....unachelewa kupata uhondoVipi inaonekana nzuri[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Mi siisomi mpaka tar 25 niinjoi sikuku yangu