Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama zile mbinu za delila za kumuita Steve hazikusaidia, ngoja nione haya mateseko ya 'Ilankunda1234'. labda yatasaidia. pole mkuu 'Ilankunda1234' vumilia usije ukakonda bure.Mkuu nashukuru hata kwa hiki kitu kidogo cha kuyatambua mateso tunayoyapata kwa uzuri wa kaxi yako ambayo imeamua kutugeuza watumwa na kutupeleka mbaaaaali sana zaidi ya tulivyogikiria.
Nidiishie hapo tuu mkuu
Kiukweli tivu mpaka hapa kila nikilala akili yangu ya uzee huu hujaa kumbumbu za mtiririko wa visa vya hii kazi. Hili ni kosa kubwa sana kwangu kwani nashindwa hata kupata ndoto kwa wongi mafikirio ya nini kipo nyuma yako.
Pakini haya yooooooote huifanya akili yangu kuamini kuwa siku haijaisha na muda wa kulala haujafika kabla haijapata hiki chakula chake ambacho ni
ANGA LA WASHENZI
Ni kweli naona ni jinsi gani akili yangu imeshindwa na sasa kisa kimekuwa cha kweli nami nakili kuwa kuikosa stori ya anga la washenzi sasa kwangu najukuta inageuka yenyewe kuwa anga la ushenzi dhidi ya akili yangu.
Mkuu nayaongea haya kwa shauku na masikitiko makubwa kuwa nitapata japo sisitahili hata kidogo kushurutisha hili, lakini sina mwingine yeyote wa kumweleza haya lakini ni wewe tuu mkuu.
Steve yapokeee haya malalamiko
Najua sio pekee yangu lakini mimi nahisi kama nimeathirika mnooo...
Kwani nilikuwa nishakata shauri la kutojihusisha teeeena na hizi stori zako kwani najua zilivonitesa na sasa nimeridi tenaaa.
Steve pleeeeeeeeeeese help for these.....
Naumia
Usingizi umenipaa baada ya kukuona mkuu
Jina lako kwenye kio cha simu yangu ni usingizi wenye furaha ndani yake.
Tivu plizi okoa usiku wangu huu[emoji26] [emoji26] [emoji26] [emoji26] [emoji26] [emoji26]
Nasubiria tivu japo uniandikie tu jina la Jona na Marwa baasi mi nilale mkuu
[emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
Tuakuamini mkuu huwa hudanganyi. Ingawaje tuna arosto ila ngoja tusubiri weekend.Weekend hii tunaendelea!
Mkuu kuna vitu havivumiliki kama:-kama zile mbinu za delila za kumuita Steve hazikusaidia, ngoja nione haya mateseko ya 'Ilankunda1234'. labda yatasaidia. pole mkuu 'Ilankunda1234' vumilia usije ukakonda bure.
Aseee mi nataka nifute jf kwanzaa kama mwezi hivi nadhani atakuwa amemalizaNaona maumivu ya njia nyembamba yanaanza taratiiib
Mkuu, jumamosi napost mzee. Usikonde wala nini.Nachungulia last seen yako tivu nakuta 38 ago[emoji26] [emoji26] [emoji26] [emoji26] [emoji26]
Jumamosi dada angu. Usikonde.Steve tukumbuke basi
Hapana mkuu. Hii itaisha hapa.Naona maumivu ya njia nyembamba yanaanza taratiiib
Nashukuru kwa imani yako mkuu.Tuakuamini mkuu huwa hudanganyi. Ingawaje tuna arosto ila ngoja tusubiri weekend.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] dohMkuu kuna vitu havivumiliki kama:-
1. Kujisaidia
2. Kukojoa
3. Kupiga miayoo
4. Kiu
5. Njaa
6. Arosto ya stori za stivu[emoji26] [emoji26] [emoji26]
Mkuu ntaishusha hapa mpaka mwisho. Ila kama ukiona 'wakereketwa' na kamwendelezo kwa haraka. Njoo kwa +255 685 758 123 wasap.Steve Basi tunaomba cc wadau wako utengeneze group ya WhatsApp ambayo tutakuwa tuna Fanya mchakato wa kamchango steeeeeeeeeeev.
Mekuona nikaja mbio[emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] doh
Tivu basi kadogo tuu nitavumiliaMkuu, jumamosi napost mzee. Usikonde wala nini.