Anga la washenzi na Joana anaona kitu usiku

Anga la washenzi na Joana anaona kitu usiku

Siandiki kwa mazoea. Kwangu hamna na itakuwa hivyo mpaka mwisho. Mimi si mtunzi wa machombezo. Na nakuhakikishia itakuwa nzuri.

Kaa hapa ushuhudie.
Booooooooonge la jibu mkuu
Kweli we ni msaniii.


Nimeamza peji ya mwanzo mpaka ya mia naa...... Sijakomenti chochote lakini kwa hili jibu nimeshindwa kujizuia mkuu
 
Man steve niaje kaka?usalama upo kweli?naona kimyaaa.....
 
Usiku kama huu nilikuwa nspitosha macho kwenye kioo cha simu yangu huku akili yangu ikitafakari umahili wa Jone,
Sasa niko kwenye kiti cha foleni

Daaaa inauma mnoooo
 
Weekend hii tunaendelea!
Sitivu tunaomba angalau basi leo utisaidie tuu hata kisa cha jone mkuu angalau tulalee yukisubiria hiyo wikiend

Tunaheshimu sana muda wako lakini ndio hivo ulishatuathiri tayari na hii kitu ishakuwa kama dawa ya usingizi kwa muathirika wa matukio makubwa
 
Sitivu tunaomba angalau basi leo utisaidie tuu hata kisa cha jone mkuu angalau tulalee yukisubiria hiyo wikiend

Tunaheshimu sana muda wako lakini ndio hivo ulishatuathiri tayari na hii kitu ishakuwa kama dawa ya usingizi kwa muathirika wa matukio makubwa
Aisee mkuu. Umenigusa sana [emoji23] [emoji23]

Sent from my SM-J110F using JamiiForums mobile app
 
Aisee mkuu. Umenigusa sana [emoji23] [emoji23]

Sent from my SM-J110F using JamiiForums mobile app
Mkuu nashukuru hata kwa hiki kitu kidogo cha kuyatambua mateso tunayoyapata kwa uzuri wa kaxi yako ambayo imeamua kutugeuza watumwa na kutupeleka mbaaaaali sana zaidi ya tulivyogikiria.


Nidiishie hapo tuu mkuu

Kiukweli tivu mpaka hapa kila nikilala akili yangu ya uzee huu hujaa kumbumbu za mtiririko wa visa vya hii kazi. Hili ni kosa kubwa sana kwangu kwani nashindwa hata kupata ndoto kwa wongi mafikirio ya nini kipo nyuma yako.

Pakini haya yooooooote huifanya akili yangu kuamini kuwa siku haijaisha na muda wa kulala haujafika kabla haijapata hiki chakula chake ambacho ni
ANGA LA WASHENZI

Ni kweli naona ni jinsi gani akili yangu imeshindwa na sasa kisa kimekuwa cha kweli nami nakili kuwa kuikosa stori ya anga la washenzi sasa kwangu najukuta inageuka yenyewe kuwa anga la ushenzi dhidi ya akili yangu.

Mkuu nayaongea haya kwa shauku na masikitiko makubwa kuwa nitapata japo sisitahili hata kidogo kushurutisha hili, lakini sina mwingine yeyote wa kumweleza haya lakini ni wewe tuu mkuu.


Steve yapokeee haya malalamiko

Najua sio pekee yangu lakini mimi nahisi kama nimeathirika mnooo...


Kwani nilikuwa nishakata shauri la kutojihusisha teeeena na hizi stori zako kwani najua zilivonitesa na sasa nimeridi tenaaa.

Steve pleeeeeeeeeeese help for these.....


Naumia
Usingizi umenipaa baada ya kukuona mkuu
Jina lako kwenye kio cha simu yangu ni usingizi wenye furaha ndani yake.

Tivu plizi okoa usiku wangu huu[emoji26] [emoji26] [emoji26] [emoji26] [emoji26] [emoji26]


Nasubiria tivu japo uniandikie tu jina la Jona na Marwa baasi mi nilale mkuu
[emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
 
Tivu plizi saa tano imefika
Naomba uniandikie tuu hata majina ya Jona na Marwa basi
 
Nachungulia last seen yako tivu nakuta 38 ago[emoji26] [emoji26] [emoji26] [emoji26] [emoji26]
 
Back
Top Bottom