Anga la washenzi na Joana anaona kitu usiku

Jona hawezi kufa kizembe namna hiyo na wasiombe apone hivyo virus
Hapo tuko pamoja maana jona akifa sisomi tena hii story aisee siwezi kuumia moyo namna hii hofu yangu nyingine ni kuwa bc anafikiri jona ni mtu wa kushawishika kirahisi
 
Hapo tuko pamoja maana jona akifa sisomi tena hii story aisee siwezi kuumia moyo namna hii hofu yangu nyingine ni kuwa bc anafikiri jona ni mtu wa kushawishika kirahisi
Khaaa[emoji15] [emoji15] [emoji15] sasa mbona umekasiruka??

Jona anaweza akafa halafu mikoba yake akichukua Kino[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hakuna Mtu wa kubeba mkoba wa jona, Labda watoe tu sapot na sikuubeba wote mkuu, jona ni noma arif
 
Reactions: ram
Naam
Je mkuu jona atarusha visu kama zamani ..!??
Tusubiri tuone[emoji4]
 
Antidote ndo inaenda kuzikwa ivoo, tumuombee inspekta jona. Ila sheng Mungu anamuona anavyouaua hovyo!!
 
Khaaa[emoji15] [emoji15] [emoji15] sasa mbona umekasiruka??

Jona anaweza akafa halafu mikoba yake akichukua Kino[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Jona ndio hadithi, akifa ndio hadithi imekwisha, Jona hafi hadi mwisho
 
Jona ndio hadithi, akifa ndio hadithi imekwisha, Jona hafi hadi mwisho
Mhh ngoja stivu atushangaze....kwa kumfanya marwa kuwa star....tena atawamaliza wote kwa kutumia akili tu....huku akisaidiwa na akina amanda panapohitaji nguvu.
 
Tukumbuke ya kuwa hili ni Anga la Washenzi, kwa hiyo yeyote yule anaekaa kiboya anakwenda na maji,c jona ,mirriam,milanda ,kino au sheng, ukikaa kichwa kichwa unasepa- hata Stive Mollel akikaa kiboya boya mle wanakula nae sahani moja , usishangae mtoto hata wa Sarah akija kuwa mbabe wa anga la washenzi.
 
Hahaaaa umetisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…