Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo tuko pamoja maana jona akifa sisomi tena hii story aisee siwezi kuumia moyo namna hii hofu yangu nyingine ni kuwa bc anafikiri jona ni mtu wa kushawishika kirahisiJona hawezi kufa kizembe namna hiyo na wasiombe apone hivyo virus
Khaaa[emoji15] [emoji15] [emoji15] sasa mbona umekasiruka??Hapo tuko pamoja maana jona akifa sisomi tena hii story aisee siwezi kuumia moyo namna hii hofu yangu nyingine ni kuwa bc anafikiri jona ni mtu wa kushawishika kirahisi
si ilishaisha?Nimemsi Joanna SM-ungemkongojakongoja kidogo asogee sogee huku mbele
Punguza stress mkuu.Nimemsi Joanna SM-ungemkongojakongoja kidogo asogee sogee huku mbele
Jona ndio hadithi, akifa ndio hadithi imekwisha, Jona hafi hadi mwishoKhaaa[emoji15] [emoji15] [emoji15] sasa mbona umekasiruka??
Jona anaweza akafa halafu mikoba yake akichukua Kino[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mh.Jona ndio hadithi, akifa ndio hadithi imekwisha, Jona hafi hadi mwisho
Eti hasira, hasira za kijingaAntidote ndo inaenda kuzikwa ivoo, tumuombee inspekta jona. Ila sheng Mungu anamuona anavyouaua hovyo!!
Itakuwa ni ya Peniela kama sisahauMh.
Kuna story moja humu mpaka watu walikuwa wana beti lakini wapi hakuna anaepatia[emoji23] [emoji23]
Kwel ulikuwa ukisema hivi inaenda hiviItakuwa ni ya Peniela kama sisahau
Mhh ngoja stivu atushangaze....kwa kumfanya marwa kuwa star....tena atawamaliza wote kwa kutumia akili tu....huku akisaidiwa na akina amanda panapohitaji nguvu.Jona ndio hadithi, akifa ndio hadithi imekwisha, Jona hafi hadi mwisho
Hahaaaa umetishaTukumbuke ya kuwa hili ni Anga la Washenzi, kwa hiyo yeyote yule anaekaa kiboya anakwenda na maji,c jona ,mirriam,milanda ,kino au sheng, ukikaa kichwa kichwa unasepa- hata Stive Mollel akikaa kiboya boya mle wanakula nae sahani moja , usishangae mtoto hata wa Sarah akija kuwa mbabe wa anga la washenzi.