SteveMollel
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 8,797
- 25,177
- Thread starter
- #601
Kama kawaida mzee. Yani kitu hai hai!Chalii steve katika ubora wako safi sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama kawaida mzee. Yani kitu hai hai!Chalii steve katika ubora wako safi sana.
Tena uongeze huo ukaribu kwa sana.Nafuatilia kwa ukaribu sana.
Ugali na sio ugari, Kiswahili cha kuandika kinakushinda utawaweza washenzi wa anga?unazingua tupia mojamoja mpk iishe anga la washenzi kwanza,hiyo nyengine mpk iishe hii si vizuri kuchanganya ugari na wali
mi nachojua sikuhizi kila mmoja anapambana na hali yake! sijui umewashwawashwa nini mpk kutaka kupambana na hali ya wengine!.. ha ha ha nakutania tu mkuu take it easy anga la washenzi naielewa,ugari ni kutype vibaya tu.Ugali na sio ugari, Kiswahili cha kuandika kinakushinda utawaweza washenzi wa anga?
mi nachojua sikuhizi kila mmoja anapambana na hali yake! sijui umewashwawashwa nini mpk kutaka kupambana na hali ya wengine!.. ha ha ha nakutania tu mkuu take it easy anga la washenzi naielewa,ugari ni kutype vibaya tu.