Anga la washenzi na Joana anaona kitu usiku

Anga la washenzi na Joana anaona kitu usiku

Steve ulichotufanya jana Mkuu mpaka basi yaani watu mpaka asubuhi hii tunaangalia kama ulitupia lakin hola
 
Duuuu usiku mzima nimekesha nangalia mzigo hola imenibidi nikomae na vitabu vya musiba will gamba
 
Vipo kwa wingi kwa sasa kwa wauza vitabu. Kama uko Dar ni rahisi zaidi.
Mi nilikinunua pale Ubungo kituo kikuu cha mabasi.
Nipo mkoani..unaweza nipa namba ya muuzaji kama unayo? Na wanaviuza kiasi gani, asante sana kwa ushirikiano.
 
Stive vyuma vimeshakaza ujuwe....au mpaka akuombe yule dada nani vileee...
 
Back
Top Bottom