Anga la washenzi na Joana anaona kitu usiku

hahaha sifa ya series ama movie usijue kitakachotokea mbele ama ujue ila uwe na choice/nadharia nyingi kiasi kwamba ukose jibu sahihi

hii imekidhi vigezo vya kuitwa simulizi za series
 
Picha inavyokwenda...BC atakuja kulia lia kwa jona kuomba' huruma'...maana atawekwa mtu kati...
Jona na sheng watamnyoosha kila mtu kwa sababu zake......
 
Mwenye kujua thamani ya Jona ni Miranda, hivyo BC ameshiriki kidogo japo kwa umuhimu, tatizo ndugu yetu Jona hayupo tayari kutenda dhambi ya kumtukuza muhalifu kisa tu eti kaokoa maisha yake [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] hapa ndo ananimaliza ila kwakuwa Miranda anamjua BC na naamini hawezi muua Jona basi BC kazi anayo tangu sasa
Ila jona naye hio Loyality yake hata mm ningekua Bc ningempoteza [emoji23]
 
Há há há há aaa si mpaka uweze sasa Jona jiwe lile, sasa ndo wamepewa ujumbe ulowekwa kwenye kichwa cha mwenza ujumbe unasemaje atatuambia Steve baadae[emoji1] [emoji1] Raha sana
 
Sasa star atakufaje[emoji23] mkuu....hio ndio character yake...
ila naunga mkono Hoja ya Bc.... we raise No punk[emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji1]
 
Nasema hivi, baadae kama kawaida. Majira yetu yaliyotulia, mbali na kurupushani za dunia ili tukisoma vitu kama hivi viingie mpaka kuukuna moyo.
Mambo yamechachamaa. Na hapa ndipo mbivu na mbichi zitakapokaa ng'ambo kwa ng'ambo.
 
Hope nitakuwa wa kwanza kuisoma
 
Nasema hivi, baadae kama kawaida. Majira yetu yaliyotulia, mbali na kurupushani za dunia ili tukisoma vitu kama hivi viingie mpaka kuukuna moyo.
Mambo yamechachamaa. Na hapa ndipo mbivu na mbichi zitakapokaa ng'ambo kwa ng'ambo.
Nikikosaga cha kuandika hua napita tuu mkuu
 
Nasema hivi, baadae kama kawaida. Majira yetu yaliyotulia, mbali na kurupushani za dunia ili tukisoma vitu kama hivi viingie mpaka kuukuna moyo.
Mambo yamechachamaa. Na hapa ndipo mbivu na mbichi zitakapokaa ng'ambo kwa ng'ambo.
[emoji120] [emoji120] [emoji91] [emoji91] [emoji91]
 
Back
Top Bottom