Anga la washenzi na Joana anaona kitu usiku

Anga la washenzi na Joana anaona kitu usiku

Nashukuruni sana wakuu. Leo tena mambo yakikaa sawa, twaendelea kuwasha moto. Anyway na wale wasomaji wa kimyakimya, nawaonaa!
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
hili dongo nadhani halinihusu [emoji23] [emoji23]
Atakua kanistukia

Habari yako Bwana Steve Mollel.

Asante kwa simulizi za nguvu, hakika tunaburudika mnoo...hadi wakati mwingine hua najiona Jona flani hivi watu wakizingua.
 
Warmly welcome to the world of the damned. Jotroo linapanda linashuka,mooleli iko inafanya watu damu ichemke yerooo. Utamu ikuje raha ikolee. Usituachie arosto hiyo kazoea shunii
 
Back
Top Bottom