Ngiama makanda
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 1,552
- 2,741
Me naona dada alijua anaenda kumhoji lucas mwashambwa ghafla akakutana na akili the brain
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣Yaonekana alikuja na ajenda/maswali yake alafu aaajab sana ana na majibu yake.
Yaaani anataka maswali yake na ana majibu yake🤣🤣🤣
View: https://www.youtube.com/live/h9cHr7NLIBA?si=L-nYOeceS1NrpmnV
Kasoro kubwa katika interview hii ya leo katika kipindi cha hiki cha 360° Clouds TV:
1. Ni mtangazaji huyu wa kike (Kijakazi Yunus) kutokuwa makini ktk kazi yake. Angalia alivyokaa, anachofanya, anauliza swali na haoneshi umakini wowote ktk kusikiliza na matokeo yake maswali nyongeza (follow up questions) kutoka kwake ktk interview hii kuwa "very vague" kuonesha kuwa hafuatilii majibu ya maswali aliyouliza mwenyewe...
2. Ni wazi kuwa hakujiandaa kwenda kufanya mahojiano na mtu wa aina ya Tundu Lissu ambaye naweza kusema hamjui vizuri au alidhani anajua zaidi kuliko yeye...
3. Hili #2 hapo juu inathibitishwa na kukosa kwake umakini kiasi cha maswali yake kuwa ya shaghala-baghala kwa sababu hasikilizi majibu yake toka kwa anayemuuliza maswali. Ikafika time anamtaka mfanyiwa mahojiano aanze kumhoji mtangazaji...!!
4. Ilifika wakati Tundu Lissu (mhojiwa) kumrejesha mtangazaji kwenye mstari na kumwambia "kuwa makini, Fuatilia logic ya maelezo yangu..."
5. Kwa maoni yangu huyu Mtangazaji (Dada Kija), hafai kuongoza kipindi cha kuhojiana na watu wenye akili na ufahamu mkubwa kama Tundu Lissu badala yake ahojiane na waimba taarabu na miziki ya mipasho huko...!!
CC: @CloudsTV
Wajumbe wanapigia tuKijakazi Yunus Sasa Yupo Dodoma Anahaha
Rushwa ya mwiliHaka Kasichana Kako very unprofessional.... haya ni matokeo ya kupeana kazi kwa kujuana.
Mzee baba kazi za chupi hizoHaka Kasichana Kako very unprofessional.... haya ni matokeo ya kupeana kazi kwa kujuana.
Namna alivyo hoji hapo chief ni kumdharau muheshimiwa! Mme wa huyo bidada ana KaziGentleman,
Mwanahabari Chief Odemba wa StarTv, kwakua ni chadema hafai kutumia taaluma yake kumuhoji katibu mkuu wa CCM right?🐒
Kutafuta madaraka kwa njia mbadala , na za ghiliba, maana uwezo binafsi ni hafifuMuandishi kama huyu unadhani atakuwa na upeo wa namna gani?!
View attachment 3203687
Kamalizia kwa kusema muda umeisha....Huyo dada kachemsha sana aisee na kapaniki hadi wenzie wanaona aibu yuko very unprofessionalkqbisa