GE2025 Angalia Citizen TV kuna hot debate about "Tanzania and its Samia"

GE2025 Angalia Citizen TV kuna hot debate about "Tanzania and its Samia"

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mambo ya aibu we are be6 portrayed.
Uchagu wote ulo kwwtu.
Just tune in!
Shida yote hiyo ya nini kuangalia Citizen TV ya Kenya.??

Kwani nchini kwao kuna nini wanachotuzidi? Kama ni demokrasia na katiba nzuri wanayo, lakini hawana tofauti na kinachotokea kwetu.

Utekaji upo, uuaji upo na bado siyo rahisi kwa mtu yeyote kugombea urais wa Kenya. Lazima utoke kwenye circles zenye nguvu ya hela na kabila maarufu
 
DAY BREAK | Tanzania at the crossroads [ Part 2]​

View: https://m.youtube.com/watch?v=2XATW3VLL2E
Jakaya Kikwete atwishwa lawama, alikuwa mwanadiplomasia mpatanishi mzuri lakini sasa kama mstaafu ni kama amelogwa literally speaking jopo linasema kwa masikitiko juu ya rais mstaafu pekee wa Tanzania aliyeyebaki walikuwa wamempa uzito angerekebisha mambo lakini ameamua kuwemo katika genge la uongoza uchafuzi wa demokrasia na mchakato mzima wa uchaguzi wa 29 Oktoba 2025 nchini Tanzania
 
Shida yote hiyo ya nini kuangalia Citizen TV ya Kenya.??

Kwani nchini kwao kuna nini wanachotuzidi? Kama ni demokrasia na katiba nzuri wanayo, lakini hawana tofauti na kinachotokea kwetu.

Utekaji upo, uuaji upo na bado siyo rahisi kwa mtu yeyote kugombea urais wa Kenya. Lazima utoke kwenye circles zenye nguvu ya hela na kabila maarufu
But they're very far from us, hata siku Moja hatuwezi jilinganisha na Kenya in terms of economic, na hata namna haki inavyo tolewa ni tofouti na sisi, mihimili yao ipo huru, they have best constitution..

Watu wa hivyo unaweza jilinganisha nao vipi? Utekaji na uaji kulikuwepo Kipindi Cha nyuma, watu walienda mahakamani huo uhuni haupo saivi.

Kuhusiana namna ya kupata nafasi za juu kisiasa lazima na nguvu ya pesa na kiuchumi na kisiasa. Sasa hii siyo Kenya tu , huu ni Mfumo wa Dunia nzima ndiyo upo hivyo siyo Kenya tu.. hata nchi za wenzetu zilizo piga Hatua hiyo mifumo baado ipo kwa sababu Dunia ndivyo ilivyo!

Huu Upumbavu tunaofanyiwa hapa ni sisi tu tunauendekeza.
 
Tz tuko vizuriiii
1000156529.jpg
 
Cha ajabu nini? Mbona hata wewe ni mmbea huwa unaongelea majirani zako lini waliwahi kupata aibu kutokana na tabia yako ya kuongelea mambo ya watu?
 
Kiukweli kama itatokea Watanzania tukashindwa kujitokeza kwa wingi kukabiliana na hii changamoto tuliyonayo hivi sasa ,tujue Tanzania inakwenda kupoteza sifa ya kuwa eneo salama la kuishi ,take it .

Wakuu taarifa nilizonazo juu ya nini huwatokea watu baada ya kutekwa ,sinjema ,ni mbaya mnooo
 
PART 1

PART 1

DAY BREAK | Tanzania at the crossroads [ Part 1]​

View: https://m.youtube.com/watch?
v=NSG0IRfLsHk

TOKA MAKTABA :

MADA : KULINDALI MAFANIKIO YA VYAMA VYA UKOMBOZI BAADA YA UHURU, VINAENDANA NA HAJA YA VYAMA HIVYO KUBAKI MADARAKANI

African National Congress (ANC) itakuwa mwenyeji wa Kongamano la Kilele cha Vyama vya Ukombozi 2025 katika Hoteli ya Radison Blu, Kempton Park kuanzia leo tarehe 25 hadi 28 Julai 2025 chini ya mada: "Kulinda Mafanikio ya Ukombozi, Kuendeleza Maendeleo Jumuishi ya Kijamii na Kiuchumi, Kuimarisha Mshikamano wa Afrika."

Mkutano huu muhimu unathibitisha misingi ya kiitikadi ya vyama sita vya ukombozi Kusini mwa Afrika - ANC, MPLA, SWAPO, FRELIMO, ZANU-PF na CCM - na jukumu lao la kihistoria katika kupata uhuru, utu na maendeleo katika eneo lote la Kusini mwa Afrika.

Pia Kongamano linalenga kusisitiza umuhimu wa harakati hizi kuwa katika mpangilio unaotambua mabadiliko ya mazingira ya kisiasa na kimataifa yanayobadilika haraka.

Vyama vya ukombozi vya Kusini mwa Afrika vilibadilisha hali ya kisiasa ya eneo hilo, kupinga utawala wa kikoloni na ubaguzi wa rangi, na kukaribisha utawala unaozingatia watu.

Tangu uhuru, vuguvugu hizi zimetekeleza sera muhimu kuhusu mageuzi ya ardhi, elimu, makazi, miundombinu na ulinzi wa kijamii.

Hata hivyo, mafanikio haya sasa yanakabiliwa kumegeka kutokana shinikizo jipya la mataifa ya kibeberu, migogoro ya kiuchumi, na majaribio ya kuingiliwa na ukoloni mamboleo.

Mkutano huu unatoa jukwaa moja la kukabiliana na matishio haya na kujumuisha majibu ya kimaendeleo ya kikanda yanayokitwa katika Pan-Africanism (Umajimuhi wa Kiafrika), internationalism na multilateralism.

Mkutano huo ni uingiliaji wa kimkakati katika uanzishaji upya wa mpango kazi (framework), kuimarisha mshikamano wa ndani ya chama, na kurekebisha harakati za ukombozi na matarajio ya kijamii na kiuchumi ya kizazi kipya.

ANC inaamini kwamba uhai wa kisiasa, kiuchumi na kiutamaduni wa urithi wa ukombozi wa Kusini mwa Afrika unahitaji kuchunguzwa kwa uaminifu, ukweli, kujifunza kwa pamoja na umoja unaoweza kutekelezeka.
Mkutano huo utaendeleza mifumo ya ushirikiano kati ya vyama, ushirikiano wa kikanda, ushirikishwaji wa vijana, na utawala huru wa rasilimali.

Kupitia kuthibitisha tena maadili ya pamoja na kuimarisha ushirikiano, Kongamano la Vyama la Ukombozi 2025 utapanga njia mpya ya kusonga mbele, ambayo inalinda mafanikio ya zamani huku ikijenga mustakabali wa Afrika wenye haki, jumuishi na unaojiamulia.

Vyombo vya habari vinashauriwa kuzingatia yafuatayo:
Wajumbe wameanza kuwasili leo, Alhamisi, tarehe 24 Julai 2025 na Wakuu wengi wa Wajumbe watawasili kesho Ijumaa, tarehe 25 Julai 2025. Watatua kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Oliver Reginald Tambo, Wanaowasili Kimataifa,.

Wakuu wa Ujumbe :

  • Cde. Mizengo Kayanza Pinda, Head of Delegation, CCM, Tanzania
  • Cde. Chakil Aboobacar, Katibu Mkuu, FRELIMO, Msumbiji
  • Cde. Mara Baptista Quiosa, Naibu Rais, MPLA
  • Cde. Sophia Shaningwa, Katibu Mkuu, SWAPO
  • Cde. Obert Mpofu, Katibu Mkuu wa ZANU-PF
  • Cde. Liu Jianchao, Kamati Kuu ya CPC (IDCPC), Chama cha Kikomunisti cha China (CPC)
  • Cde. Mohamed Yeslem Beisat, Mkuu wa Ujumbe, Polisario Front
  • Cde. Jibril Rajoub, Katibu Mkuu, Harakati ya Ukombozi wa Kitaifa ya Palestina - FATAH
  • Cde. Solly Phetoe, Katibu Mkuu wa COSATU
  • Cde. Solly Afrika Mapaila, Katibu Mkuu, SACP
  • Cde. Mike Soko, Katibu Mkuu wa SANCO
  • Cde. Apa Poe, Katibu Mkuu, PAC
The African National Congress (ANC) will host the 2025 Liberation Movements Summit at the Radison Blu Hotel, Kempton Park from the 25th to 28th of July 2025 under the theme: “Defending the Liberation Gains, Advancing Integrated Socio-Economic Development, Strengthening Solidarity for a Better Africa.”
Source : https://www.anc1912.org.za/liberati...ng-the-gains-confronting-the-future-together/
 
But they're very far from us, hata siku Moja hatuwezi jilinganisha na Kenya in terms of economic, na hata namna haki inavyo tolewa ni tofouti na sisi, mihimili yao ipo huru, they have best constitution..

Watu wa hivyo unaweza jilinganisha nao vipi? Utekaji na uaji kulikuwepo Kipindi Cha nyuma, watu walienda mahakamani huo uhuni haupo saivi.

Kuhusiana namna ya kupata nafasi za juu kisiasa lazima na nguvu ya pesa na kiuchumi na kisiasa. Sasa hii siyo Kenya tu , huu ni Mfumo wa Dunia nzima ndiyo upo hivyo siyo Kenya tu.. hata nchi za wenzetu zilizo piga Hatua hiyo mifumo baado ipo kwa sababu Dunia ndivyo ilivyo!

Huu Upumbavu tunaofanyiwa hapa ni sisi tu tunauendekeza.
Upumbavu unao wewe unayedhani Katiba ya Kenya imezuia utekaji na mauaji. Soma hii ripoti ya MRW ya May 2025
Screenshot_20251028_123808_Chrome.jpg
Screenshot_20251028_123825_Chrome.jpg
 
Upumbavu unao wewe unayedhani Katiba ya Kenya imezuia utekaji na mauaji. Soma hii ripoti ya MRW ya May 2025
View attachment 3495093View attachment 3495094
Leta ripoti ya mwaka huu, then linganisha na Tz.

Kenya IGP aliitwa mahakamani kushitakiwa kwa makosa ya utekaji, angalau kwao mahakama Ina meno kwetu vipi? Je katiba yao unaweza linganisha na sisi? Uchumi je? Elimu? Technology? Demokrasia? Usikaze fuvu vitu vingine vipo wazi kabsa.

Hata hivyo wazungu husema , "two wrong don't make a right" hatuwezi sahisha uovu kwa maovu.
 
Kwa namna yoyote ile ,kitendo tu chakufurahia hii hali yakutekanatekana nikithibitisho tosha kuwa muhusika nilazima anachangamoto ya Afya ya akili
 
Mazungumzo moto moto ndani ya vyombo huru vya media nchini Kenya juu ya ugonjwa huu wa kisiasa uliopo Tanzania
 
Full link is here:-

Baada ya kuitwa IGP wa Kenya Mahakamani nini kilifuatia?
 
Mazungumzo moto moto ndani ya vyombo huru vya media nchini Kenya juu ya ugonjwa huu wa kisiasa uliopo Tanzania
Kwa hiyo Kenya wakiongea kuhusu Tz kwenye TV zao nyinyi huku mnapata tumbo la kuhara??
 
Kwa namna yoyote ile ,kitendo tu chakufurahia hii hali yakutekanatekana nikithibitisho tosha kuwa muhusika nilazima anachangamoto ya Afya ya akili
Je umeshatoka kuandamana.? Au unaandamania humu humu JF?
 
Shida yote hiyo ya nini kuangalia Citizen TV ya Kenya.??

Kwani nchini kwao kuna nini wanachotuzidi? Kama ni demokrasia na katiba nzuri wanayo, lakini hawana tofauti na kinachotokea kwetu.

Utekaji upo, uuaji upo na bado siyo rahisi kwa mtu yeyote kugombea urais wa Kenya. Lazima utoke kwenye circles zenye nguvu ya hela na kabila maarufu
Kwa sababu utekaji na mauaji yapo kwao basi ni sawa tuu na hawatuzidi kitu? Kwa akili hizi tuna safari ndefu sana kama Taifa
 
Back
Top Bottom