Angalia fujo za CCM barabarani. CHADEMA mtakoma Mwaka huu

Angalia fujo za CCM barabarani. CHADEMA mtakoma Mwaka huu

Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025, CCM wanaendelea kuonesha Makali.

Walianza na Bais, wakata Pikipiki sasa ni Magari.

Matamanio yangu ni kuona Makali ya CHADEMA.

Je, Mbowe akishindwa, atampa Chopa Lissu apepeee?

Tunasubiri Makali ya UKAWA.

SAMIA 3 - UKAWA
 
Attachments

  • 5929282-43d7e58f930fba84b8de7085be6f9086.mp4
    19.9 MB
Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025, CCM wanaendelea kuonesha Makali.

Walianza na Bais, wakata Pikipiki sasa ni Magari.

Matamanio yangu ni kuona Makali ya CHADEMA.

Je, Mbowe akishindwa, atampa Chopa Lissu apepeee?

Tunasubiri Makali ya UKAWA.

SAMIA 3 - UKAWA
Weee dogo acha upuuzi wakusifia ujinga na nchi yako inadidimia
 
Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025, CCM wanaendelea kuonesha Makali.

Walianza na Bais, wakata Pikipiki sasa ni Magari.

Matamanio yangu ni kuona Makali ya CHADEMA.

Je, Mbowe akishindwa, atampa Chopa Lissu apepeee?

Tunasubiri Makali ya UKAWA.

SAMIA 3 - UKAWA
Watu wanaotegemea wizi wa kura mabasi ni ya kazi gani? au wamenunua magari ya kuendea kuzikana kama alivyofanya Abood kwa wanaccm wa Morogoro?
 
CCM wanasaidiwa na mapolice, mahakama, usalama wa taifa, tume ya uchaguzi, msajili wa vyama.

Hawa jamaa kama ni kavu kavu hamna kitu humo ni weupe peee
Chama Dola
 
Yani ana kichwa lakini hakina ubongo! Sasa sijui kuna maji au tope?
 
Aliporwa 100 na kugawiwa 2 ili ampigie Debe mgawaji mwenye 98...Maisha ni hisabati (MAGAZIJUTO)
 
Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025, CCM wanaendelea kuonesha Makali.

Walianza na Bais, wakata Pikipiki sasa ni Magari.

Matamanio yangu ni kuona Makali ya CHADEMA.

Je, Mbowe akishindwa, atampa Chopa Lissu apepeee?

Tunasubiri Makali ya UKAWA.

SAMIA 3 - UKAWA
Ndio hizo wanaita "MTAISOMA NAMBA"? Ni ufujaji mkubwa wa fedha za watanzania.
 
Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025, CCM wanaendelea kuonesha Makali.

Walianza na Bais, wakata Pikipiki sasa ni Magari.

Matamanio yangu ni kuona Makali ya CHADEMA.

Je, Mbowe akishindwa, atampa Chopa Lissu apepeee?

Tunasubiri Makali ya UKAWA.

SAMIA 3 - UKAWA

Nchi sehemu nyingi hakuna ambulance hata mmoja sisi tunashangilia chama kuiba kura, kupata pesa fake za serikali na kuhonga wananchi. 🤦🏾‍♂️ Halafu tuna lalamika tukiona hakuna huduma. Mnufaika hapa ni China na mafisadi
 
sio fujo gentleman,
hiyo ni mipango kabambe ya ccm imara, yenye malengo ya muda mfupi, muda wa kati na muda mrefu kisiasa..

sio mdomo, makelele na kubwekabweka tu kama vyama vingine vya siasa :pedroP:
Mali za walipakodi hizonsema wajinga wamelala fofofoo......
 
Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025, CCM wanaendelea kuonesha Makali.

Walianza na Bais, wakata Pikipiki sasa ni Magari.

Matamanio yangu ni kuona Makali ya CHADEMA.

Je, Mbowe akishindwa, atampa Chopa Lissu apepeee?

Tunasubiri Makali ya UKAWA.

SAMIA 3 - UKAWA
Daaah jamaa wanaviburi hawa. Sema chuma zimetulia
 
Attachments

  • 20250107_214111.jpg
    20250107_214111.jpg
    139 KB · Views: 1
Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025, CCM wanaendelea kuonesha Makali.

Walianza na Bais, wakata Pikipiki sasa ni Magari.

Matamanio yangu ni kuona Makali ya CHADEMA.

Je, Mbowe akishindwa, atampa Chopa Lissu apepeee?

Tunasubiri Makali ya UKAWA.

SAMIA 3 - UKAWA
 
Attachments

  • IMG_4535.jpeg
    IMG_4535.jpeg
    125.2 KB · Views: 1
Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025, CCM wanaendelea kuonesha Makali.

Walianza na Bais, wakata Pikipiki sasa ni Magari.

Matamanio yangu ni kuona Makali ya CHADEMA.

Je, Mbowe akishindwa, atampa Chopa Lissu apepeee?

Tunasubiri Makali ya UKAWA.

SAMIA 3 - UKAWA
 
Attachments

  • _123614664_boda2.jpg.jpg
    _123614664_boda2.jpg.jpg
    997.8 KB · Views: 1
  • 1733296657120.png
    1733296657120.png
    1,001.3 KB · Views: 1
  • 163192.jpg
    163192.jpg
    47 KB · Views: 1
CCM: Kituko cha Karne kwenye Mkutano Mkuu wa Uchaguzi wa Makamu Mwenyekiti

Katika mazingira ya kisiasa ya Tanzania, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimejipatia umaarufu mkubwa, lakini pia kimekuwa na changamoto nyingi.

Hivi karibuni, chama hicho kimejipanga kufanya mkutano mkuu wa uchaguzi wa makamu mwenyekiti wa taifa. Kinachoshangaza ni kwamba, licha ya umuhimu wa nafasi hiyo, hakuna aliyejaza fomu au kuomba rasmi nafasi hiyo.

Kwa hakika, hali hii inatoa taswira ya kituko ambacho hakijawahi kushuhudiwa katika historia ya siasa za Tanzania.

Muktadha wa Uchaguzi

Mkutano huu mkuu unakuja wakati ambapo CCM inakabiliwa na changamoto nyingi, ikiwa ni pamoja na kudhoofika kwa uaminifu wa umma na mabadiliko ya kisiasa yanayoendelea.

Hali hii inaongeza uzito wa uchaguzi wa makamu mwenyekiti, kwani mtu atakayechaguliwa atakuwa na jukumu muhimu katika kuongoza na kuimarisha chama katika kipindi hiki kigumu.

Kichwa cha Ndani na Kukosekana kwa Wagombea

Kinachoshangaza ni jinsi CCM inavyoenda kwenye uchaguzi huu bila wagombea rasmi. Hii ni hali isiyo ya kawaida, kwani katika vyama vingi vya siasa, wagombea hujaza fomu na kufanya kampeni ili kujipatia uungwaji mkono. Lakini hapa, inavyoonekana, kuna mpango wa kuchagua mtu bila hata kujua ni nani atakayekuwa na nafasi hiyo.

Je, hii ni dalili ya kukosekana kwa viongozi wenye uwezo, au ni mkakati wa kisiasa wa ndani wa chama?

Kituko au Mkakati?

Wengi wanaweza kuona hali hii kama kituko cha karne, lakini kuna wale wanaodai kuwa huenda ni mkakati wa kisiasa.

Chama kinaweza kuwa na mtu maalum ambaye tayari amekwishakubaliwa kwa makubaliano ya ndani, na hivyo hawahitajii mchakato wa kawaida wa uchaguzi.

Hii inaweza kuashiria udhaifu katika demokrasia ndani ya chama, ambapo maamuzi makubwa yanachukuliwa bila ushirikishwaji wa wanachama.

Athari za Kukosekana kwa Ushindani

Uchaguzi huu wa makamu mwenyekiti unatoa nafasi muhimu kwa viongozi wapya kujitokeza na kuonyesha uwezo wao. Kukosekana kwa ushindani kunaweza kukatisha tamaa wanachama ambao wangependa kuona mchakato wa wazi na wa haki. Aidha, hali hii inaweza kuathiri sana uaminifu wa umma kwa CCM, kwani watu wanaweza kuanza kuhoji uhalali wa uchaguzi na maamuzi yanayofanywa na viongozi wao.

Mwelekeo wa CCM Katika Siasa za Baadaye

Ikiwa CCM itaendelea na mtindo huu wa uchaguzi, inakabiliwa na hatari ya kupoteza uungwaji mkono wa wananchi. Katika nyakati za sasa ambapo wananchi wanahitaji uwazi na uwajibikaji zaidi kutoka kwa viongozi wao, hali hii inaweza kuleta madhara makubwa. Ni muhimu kwa chama hicho kufikiria upya kuhusu njia zao za uchaguzi na kuhakikisha kuwa wanachama wanahusishwa kikamilifu katika mchakato wa kuchagua viongozi.

Hitimisho

Kwa hivyo, mkutano huu wa CCM ni kituko cha karne, lakini pia ni kengele ya kuamsha dhamira ya mabadiliko ndani ya chama.

Ni wakati wa CCM kufungua milango kwa wagombea wengi na kuhakikisha kuwa mchakato wa uchaguzi unakuwa wa haki na wa uwazi.

Vinginevyo, chama hicho kinaweza kujikuta katika changamoto kubwa ya kuimarisha uhusiano wake na umma.
 
Back
Top Bottom