BIG DOGG
JF-Expert Member
- Sep 15, 2024
- 1,869
- 2,707
Somba somba luxury coachKuelekea Uchaguzi Mkuu 2025, CCM wanaendelea kuonesha Makali.
Walianza na Bais, wakata Pikipiki sasa ni Magari.
Matamanio yangu ni kuona Makali ya CHADEMA.
Je, Mbowe akishindwa, atampa Chopa Lissu apepeee?
Tunasubiri Makali ya UKAWA.
SAMIA 3 - UKAWA
