Boeing 747
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 3,515
- 9,415
Umahiri wa dereva unamata,kama dereva muoga hata ukimpa brevis atapitwa na vitz
[emoji23][emoji23][emoji23]hao wanaongea tuu hawajui kitu 2jz twin turboHiyo Toyota Alteza ina jiko gani 1jz-gte, 2jz-gte au 3s. Ukiweka details za gari moja moja tutajua nani mbabe.
Subaru zenye Ej20 na Ej25 ni turbo charged.
Haiwezi kuwa GTE halafu itsewe na Subaru! Hio aidha ni 1G au 3S-FE!Hiyo Toyota Alteza ina jiko gani 1jz-gte, 2jz-gte au 3s. Ukiweka details za gari moja moja tutajua nani mbabe.
Subaru zenye Ej20 na Ej25 ni turbo charged.
2JZ-GTE hapo huyo subaru atabandika chai!😁[emoji23][emoji23][emoji23]hao wanaongea tuu hawajui kitu 2jz twin turbo
Mjomba hizo gari zote hazipo kwenye natural state..yani sio stock bali zimeshafanyiwa modifications sasa unawwza kuta moja ina 280HP ingine ina 220HP hapo haiwezekani ukazishindanisha maana kila mtu ameshafamya modifications zake kwa anaelewa gari hilo ni jambo lililowazi kabisa maana modificatio zinastage zake gari ya stage 2 modification huwezi shindanisha na ya stage 4 modsBoxer engine za subaru ni mashine zenye nguvu kubwa Sana......hizi alteza zinatunyanyasa Sisi akina Carina ti TuView attachment 1537272
Hio engine ina nguvu hivyo ikiwa stock au na modifications?Haiwezi kuwa GTE halafu itsewe na Subaru! Hio aidha ni 1G au 3S-FE!
Engine yenye code GTE ni moto wa kuotea mbali hasa ikiwa manual ikute mkono kama wa Frisby!
GTE ikiwa stock ni moto, ila pia ikipigwa mods inakuwa balaa zaidi.Hio engine ina nguvu hivyo ikiwa stock au na modifications?
Hio Altezza kama ina 1JZ basi ni ile 1JZ-GE yenye 200HP au 1G yenye 180HPHiyo Toyota Alteza ina jiko gani 1jz-gte, 2jz-gte au 3s. Ukiweka details za gari moja moja tutajua nani mbabe.
Subaru zenye Ej20 na Ej25 ni turbo charged.