Angalia hapa Altezza inavyonyanyaswa na Subaru

Angalia hapa Altezza inavyonyanyaswa na Subaru

Boeing 747

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2018
Posts
3,515
Reaction score
9,415
Wale wapenda mbio ukishanunua gari yako ya high performance karibu Arusha.

Kuna barabara nzuri sana za kujimwambafai.

Kuna barabara ya Arusha Babati au Arusha Namanga.
Yaani wewe tu.

Angalia hapa Altezza inavyonyanyaswa na Subaru pamoja na Glanza. [emoji116][emoji116]

Note***high speed kills..[emoji1][emoji119][emoji119][emoji1]

Boxer engine za subaru ni mashine zenye nguvu kubwa Sana......hizi alteza zinatunyanyasa Sisi akina Carina ti Tu
BG413602_eee1ce.jpg
 
Hiyo Toyota Alteza ina jiko gani 1jz-gte, 2jz-gte au 3s. Ukiweka details za gari moja moja tutajua nani mbabe.

Subaru zenye Ej20 na Ej25 ni turbo charged.
Haiwezi kuwa GTE halafu itsewe na Subaru! Hio aidha ni 1G au 3S-FE!
Engine yenye code GTE ni moto wa kuotea mbali hasa ikiwa manual ikute mkono kama wa Frisby!
 
Hiyo tezza ingekuwa ASC 300/Lexus IS 300 boxer engine ingeomba poo
 
Boxer engine za subaru ni mashine zenye nguvu kubwa Sana......hizi alteza zinatunyanyasa Sisi akina Carina ti TuView attachment 1537272
Mjomba hizo gari zote hazipo kwenye natural state..yani sio stock bali zimeshafanyiwa modifications sasa unawwza kuta moja ina 280HP ingine ina 220HP hapo haiwezekani ukazishindanisha maana kila mtu ameshafamya modifications zake kwa anaelewa gari hilo ni jambo lililowazi kabisa maana modificatio zinastage zake gari ya stage 2 modification huwezi shindanisha na ya stage 4 mods
 
Haiwezi kuwa GTE halafu itsewe na Subaru! Hio aidha ni 1G au 3S-FE!
Engine yenye code GTE ni moto wa kuotea mbali hasa ikiwa manual ikute mkono kama wa Frisby!
Hio engine ina nguvu hivyo ikiwa stock au na modifications?
 
Hiyo Toyota Alteza ina jiko gani 1jz-gte, 2jz-gte au 3s. Ukiweka details za gari moja moja tutajua nani mbabe.

Subaru zenye Ej20 na Ej25 ni turbo charged.
Hio Altezza kama ina 1JZ basi ni ile 1JZ-GE yenye 200HP au 1G yenye 180HP
 
#Arusha Rally
#Subaru Kaskazini

Nimeimiss sana, sikujua kama karibuni wanapitia njia hiyo
 
Back
Top Bottom