Angalia hapa kama NEC inakutambua kuwa wewe ni Mpiga Kura

Huo ni mpango wa kuwazubaisha na kuwapotosha wananchi,utaangalia hapo na kujiona upo wapi siku unafika unaambiwa jina lako halipo kwenye karatasi. Tume bana wnatia sahihi kama sisi wadanganyika.
 
Mkuu, asante! Nimejiona aisee, ninahasira na mtu aliyetutishia tutashitakiwa MIGA, yaani tuogope kutetea vyetu kisa tutashitakiwa?

Halafu anakuja kuomba awe kiongozi wetu? Yaani tuchague kuwa na Baba muoga?
Mambo mengine buana!!!
 
Kwa hiyo wafanyeje sasa?
 
Tatizo sio kutambuliwa na NEC bali kura yako kutambulika na NEC! Kura yako ikitambulika na NEC itahesabiwa kwa aliyekusudiwa badala ya kuhamishiwa kwa makusudi kwa asiyekusudiwa!
 
Hapo mnapoteza muda tu, zaidi ya nusu hawa exist na tarehe 28 October wote watapiga kura. Watampigia nani..!??, Sina uhakika.

Uko sahihi sana, hizo kura za kubumba zinafahamika, lakini kura za ukweli itafahamika nani mshindi. Tatizo letu lilikuwa na kuhadaa umma eti upinzani umekufa kisa kuna makalavati, bwawa la umeme na reli vimejengwa, hivyo rais amekubalika na watanzania wote. Na hata uchaguzi huu ukipita, Magufuli atajua kuwa amefanikiwa kuvutia wanaccm wenzake na hajabadili mtazamo wowote wa wapinzani, zaidi ya kutumia madaraka yake vibaya kushurutisha kupendwa fullstop.
 
Mkuu, asante! Nimejiona aisee, ninahasira na mtu aliyetutishia tutashitakiwa MIGA, yaani tuogope kutetea vyetu kisa tutashitakiwa?

Halafu anakuja kuomba awe kiongozi wetu? Yaani tuchague kuwa na Baba muoga?
Mambo mengine buana!!!

Mugabe alikuwa anajifanya jasiri na mzalendo hadi akawapora wazungu ardhi na kuwapa wazalendo uchwara wa Zimbabwe. Uchumi ukasambaratika vibaya sana, hatimaye jana serikali ya Zimbabwe imetangaza kuwarudishia wazungu mashamba yao. Mzungu hakwepeki kwa kuwa na kiongozi mwenye kiburi.
 
Tafadhari bhana!! Jiambie wewe ni shujaa, halafu shika kichwa na ukiambie, Ubongo wake ufanye kazi yake Kwa Hekima na maarifa,

Mwenye akili, nenda naye Kwa Hekima, la sivyo utakuwa shamba la bibi Kwa kushindwa kutumia bongo na uoga wa kijinga
 
Kwani kuna mtu alikuwa na misimamo kama Nyerere? Mbona watu waliishia kuvaa viraka? Miaka hii mitano pekee yake ya utawala wa kiburi nenda TRA kaangalie idadi ya biashara zilizofungwa, achia mbali ukosefu wa ajira.
 
Hapo mnapoteza muda tu, zaidi ya nusu hawa exist na tarehe 28 October wote watapiga kura. Watampigia nani..!??, Sina uhakika.
Tuko m59, tume inasema wamejiandikisha m29, maana yake nusu ya watanzania wamejiandikisha, hakuna waliokufa? There's rat smell here.
 
Vijana woote na mademu zao, walikosa Ajira kwa miaka mitano kura kwa Lissu.
 
Yap,wapige chabo kabisa kama wamo,wasepige mayowe kumbe kwenye daftari kaandikwa"amekufa miaka mitatu iliyopita"
 
Tuko m59, tume inasema wamejiandikisha m29, maana yake nusu ya watanzania wamejiandikisha, hakuna waliokufa? There's rat smell here.
Sio wote waliojiandikisha kuna watoto chini ya miaka 17 kuna wagonjwa na wafungwa hawakujiandikisha.
 
Back
Top Bottom