mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
Hujui unaloongea kwa bahati mbaya. Ni hivi, hao wazungu ni wazawa wa huko huko Zimbabwe, ni sawa na walivyo kina Mo, Bakhressa nk hapa Tanzania. Hawa ni watanzania lakini sio wabantu, hivyo waporwe mashamba yao kisa kuna weusi wanajifanya wazalendo?
wewe ndio hujui unachoongea mzee,unanukuu mo kuwa mtz kwa kigezo cha kuzaliwa hapa bongo!!!!achana na hii hoja.
labda nikuulize,hayo mashamba mugabe amenyang'anya wazungu hao mwaka gani??maana kama miaka ya 80 wazungu wazawa nchi za kiafrica walikuwa wachache sana.
wengi walikuwa bado ni walowezi tu.
leo hii kama mambo yanaharibika yakishikwa na watu weusi,basi tunatakiwa kujikita kutatua hilo.