Angalia hapa kama NEC inakutambua kuwa wewe ni Mpiga Kura

Angalia hapa kama NEC inakutambua kuwa wewe ni Mpiga Kura

Tuko m59, tume inasema wamejiandikisha m29, maana yake nusu ya watanzania wamejiandikisha, hakuna waliokufa? There's rat smell here.
Juzi nilikuwa naangalia kwenye kituo nilichopo kuna majina (na picha zao) yalibandikwa ya wakazi wenye vitambulisho vya kupigia kura. Majina hayazidi 300 lakini marehemu ni 27!!!

Bado kuna waliohamia mbali ambao nina hakika kwa uwezo wa kiuchumi na kiakili (akili ya utambuzi juu ya umuhimu wa kupiga kura) walio nao hawawezi kurudi kituoni eti kwasababu tu ya kupiga kura.
 
Tatizo pia sio kutambulika na nec, nec wanaweza wakakutambua bt kura yako wakaibadilisha matumiz ya either imeharibika au wakai transfer kwa boss wao.
Ukinisoma tena, mara moja utagundua ulichoandika ndicho nilichoandika in other way round, kwamba ikitambulika itahesabiwa kwa aliyekusudiwa... yaani kwa aliyepigiwa badala ya kuhamishiwa kwa asiyekusudiwa; yaani huyo uliyemwita boss wao!
 
Mkuu, asante! Nimejiona aisee, ninahasira na mtu aliyetutishia tutashitakiwa MIGA, yaani tuogope kutetea vyetu kisa tutashitakiwa?

Halafu anakuja kuomba awe kiongozi wetu? Yaani tuchague kuwa na Baba muoga?
Mambo mengine buana!!!
hata mimi nina hasira sana! acha tumcinjie kwenye sanduku la kura ili Amsterdam &co. watafute ajenda nyingine!
 
Asante sana, mleta mada. Nimejihakiki kwa mara nyingine baada ya ile ya kwenda kituoni kuona kama jina langu limo kwenye orodha ya wapiga kura. Tukutane 28/10/2020, tukawashughulikieni wale wote wanaoitakia mabaya Tanzania. Hakuna kuwapa kura ikiwezekana hata moja!
 
Huo ni mpango wa kuwazubaisha na kuwapotosha wananchi,utaangalia hapo na kujiona upo wapi siku unafika unaambiwa jina lako halipo kwenye karatasi. Tume bana wnatia sahihi kama sisi wadanganyika.
Ndio maana unatakiwa kwenda kuhakiki jina lako siku 7 kabla ya uchaguzi. Daftari litaweklwa wazi katika kituo ulichojiandikishia.
 
Mugabe alikuwa anajifanya jasiri na mzalendo hadi akawapora wazungu ardhi na kuwapa wazalendo uchwara wa Zimbabwe. Uchumi ukasambaratika vibaya sana, hatimaye jana serikali ya Zimbabwe imetangaza kuwarudishia wazungu mashamba yao. Mzungu hakwepeki kwa kuwa na kiongozi mwenye kiburi.

kosa lilikiwa la mugabe au aliowapa mashamba!!!
 
kosa lilikiwa la mugabe au aliowapa mashamba!!!

Ukimpora mtu mali yake kisha uliyempa unaona hafanyi sawa, unatakiwa umnyang'anye. Mbona sasa hivi wameanza kuwarudishia wazungu hayo mashamba?
 
Ukimpora mtu mali yake kisha uliyempa unaona hafanyi sawa, unatakiwa umnyang'anye. Mbona sasa hivi wameanza kuwarudishia wazungu hayo mashamba?

kwamba mashamba ni mali ya wazungu[emoji4][emoji4].

unajua tunachotofautia sisi mnaotuita mataga na nyinyi ufipa ni namna ya kutizama mambo tu,hapo ndioo consept nzima ya nyinyi kuitwa vibaraka inapozaliwa.

haijalishi una nia gani,ila ukiishaonyesha ushirika na shoga,utawekwa kundi a)basha b)mpunga.
 
Hujui unaloongea kwa bahati mbaya. Ni hivi, hao wazungu ni wazawa wa huko huko Zimbabwe, ni sawa na walivyo kina Mo, Bakhressa nk hapa Tanzania. Hawa ni watanzania lakini sio wabantu, hivyo waporwe mashamba yao kisa kuna weusi wanajifanya wazalendo?
 
Back
Top Bottom