Course Coordinator
JF-Expert Member
- Jul 27, 2019
- 1,742
- 3,224
Kwani wakizitaka si wanawezaenda chukua NEC.unataka kutu-hack namba zetu za vichinjio?
Kwa hiyo wafanyeje sasa?Huo ni mpango wa kuwazubaisha na kuwapotosha wananchi,utaangalia hapo na kujiona upo wapi siku unafika unaambiwa jina lako halipo kwenye karatasi. Tume bana wnatia sahihi kama sisi wadanganyika.
Hapo mnapoteza muda tu, zaidi ya nusu hawa exist na tarehe 28 October wote watapiga kura. Watampigia nani..!??, Sina uhakika.
Mkuu, asante! Nimejiona aisee, ninahasira na mtu aliyetutishia tutashitakiwa MIGA, yaani tuogope kutetea vyetu kisa tutashitakiwa?
Halafu anakuja kuomba awe kiongozi wetu? Yaani tuchague kuwa na Baba muoga?
Mambo mengine buana!!!
Tafadhari bhana!! Jiambie wewe ni shujaa, halafu shika kichwa na ukiambie, Ubongo wake ufanye kazi yake Kwa Hekima na maarifa,Mugabe alikuwa anajifanya jasiri na mzalendo hadi akawapora wazungu ardhi na kuwapa wazalendo uchwara wa Zimbabwe. Uchumi ukasambaratika vibaya sana, hatimaye jana serikali ya Zimbabwe imetangaza kuwarudishia wazungu mashamba yao. Mzungu hakwepeki kwa kuwa na kiongozi mwenye kiburi.
Tafadhari bhana!! Jiambie wewe ni shujaa, halafu shika kichwa na ukiambie, Ubongo wake ufanye kazi yake Kwa Hekima na maarifa,
Mwenye akili, nenda naye Kwa Hekima, la sivyo utakuwa shamba la bibi Kwa kushindwa kutumia bongo na uoga wa kijinga
Tuko m59, tume inasema wamejiandikisha m29, maana yake nusu ya watanzania wamejiandikisha, hakuna waliokufa? There's rat smell here.Hapo mnapoteza muda tu, zaidi ya nusu hawa exist na tarehe 28 October wote watapiga kura. Watampigia nani..!??, Sina uhakika.
Sio wote waliojiandikisha kuna watoto chini ya miaka 17 kuna wagonjwa na wafungwa hawakujiandikisha.Tuko m59, tume inasema wamejiandikisha m29, maana yake nusu ya watanzania wamejiandikisha, hakuna waliokufa? There's rat smell here.