Angalia hapa kisha andika Jina lako kwa Kijapani utaitwaje?

Angalia hapa kisha andika Jina lako kwa Kijapani utaitwaje?

RINKAJIDOLUDOTAKI : MAGUFULI according to this alphabet msije mkanitafuta buuureee
 
hahaha
hilo jina kama mtoto anasema sili mkate
chili nkate [emoji28]

bonge ya jina hiyo!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Umeona eeeh! Najua titimunda atakuwa analitamani hili jina [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Aaah wapi! Linasound kibantu "chilinkate" in makonde's voice [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
hahaha
umefikiria kama mie yaan mwanzo nlikiwa nasema mmakonde atalitamka vyema hili
 
Nasikia kuna kiongozi fulani ukipitisha jina lake hapa inaleta BASHITE 🙄
 
Back
Top Bottom