Angalia hapa Matokeo ya Kidato cha 6 mwaka 2023

Angalia hapa Matokeo ya Kidato cha 6 mwaka 2023

Tabora boys[emoji95][emoji95][emoji95]
Screenshot_20230713_164245_Samsung%20Internet.jpg
 
Mtoto wa baba angu mkubwa ambae Kwa Sasa ana miaka let say 90's
Mmoja ya watoto wake wa uzeeni NDIO amehitimu mwaka huu form 6

Kwa Sasa dogo yupo JKT nimeangalia shule ya kata mchepuko wa science alikokua akisoma matokeo ni kama ifuatavyo
Division 1@18
Division 2@29
Division 3@1
Hakuna division four Wala zero[emoji4][emoji4]

Kwa kua Sina namba yake ya mtiani na alivyo kuaga mtundu mtundu I bet atakua na division 2 kali [emoji4]

Pocket money na zile bro Kuna joint nataka nilipie vibomu nya hapa na pale nilikua nazishitukia lakini nampa support ya kibabe [emoji4][emoji4]kumbe dogo atakua alikua anakaza msuli.....

Ntaleta mrejesho hapa....

Nilicho kuja kuamini ukoo wetu haujawai kuwa na watoto vilaza kuanzia wazee wetu mpaka vitukuu vyake kwenye mambo ya masomo KAMA VILE TULICHANJIWA UBONGO WA FISI[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
vip iyo Three awe ni yeye.. Unazan iyo 3 atakua nan?
 
Huenda Elimu imekuwa nyepesi

Huenda Wanafunzi wana akili

Huenda Siasa zimetumika
 
Tabora boys[emoji95][emoji95][emoji95]View attachment 2686813
Mkuu baba lao ni Ahmes Secondary. Ndiyo ya Kwanza Kitaifa wanafunzi wote 1. One Moja tu ya point 8. Overall GPA ya 1.2891 ndiyo anafuatia Tabora Boys no 2 kwa mbali yaani GPA ya 1.4..., ya Tatu Marian Boys akifuatiwa no 4 Kemebos. Anyway kuna orodha inazunguka mitandaoni shule zote ya kwanza mpaka ya mwisho.
 
Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) imetangaza matokeo ya kidato cha sita mwaka 2023 huku yakionyesha ufaulu wa jumla umeongezeka kwa asilimia 0.26 ikilinganishwa na mwaka jana.

Akitangaza matokeo hayo leo Julai 12, 2023 katika ofisi za Baraza hilo Zanzibar, Katibu Mtendaji wa Necta Dk Said Mohamed amesema jumla ya watahiniwa waliosajiliwa kufanya mtihani ni 106, 883 huku wasichana wakiwa ni 47, 340 na wavulana 59, 543.

"Jumla ya watahiniwa 104,549 sawa na asilimia 99.23 ya watahiniwa waliofanya mtihani wa kidato cha sita 2023 wamefaulu," amesema.

Wasichana waliofaulu ni 46,707 sawa na asilimia 99.51 huku kwa upande wa wavulana, waliofaulu ni 57, 843 sawa na asilimia 99.

Mwaka 2022 waliofaulu walikuwa 93,136 sawa na asilimia 98.97 hivyo ufaulu wa jumla umeongezeka kwa asilimia 0.26 ikilinganishwa na mwaka 2023.

BOFYA HAPA KUTAZAMA MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2023
Inamake sense sana...ule utamaduni wa kijana kapiga div one yako f4 alafu f6 unapiga zero haumake sense hata kidogo

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Mtoto wa baba angu mkubwa ambae Kwa Sasa ana miaka let say 90's
Mmoja ya watoto wake wa uzeeni NDIO amehitimu mwaka huu form 6

Kwa Sasa dogo yupo JKT nimeangalia shule ya kata mchepuko wa science alikokua akisoma matokeo ni kama ifuatavyo
Division 1@18
Division 2@29
Division 3@1
Hakuna division four Wala zero😊😊

Kwa kua Sina namba yake ya mtiani na alivyo kuaga mtundu mtundu I bet atakua na division 2 kali 😊

Pocket money na zile bro Kuna joint nataka nilipie vibomu nya hapa na pale nilikua nazishitukia lakini nampa support ya kibabe 😊😊kumbe dogo atakua alikua anakaza msuli.....

Ntaleta mrejesho hapa....

Nilicho kuja kuamini ukoo wetu haujawai kuwa na watoto vilaza kuanzia wazee wetu mpaka vitukuu vyake kwenye mambo ya masomo KAMA VILE TULICHANJIWA UBONGO WA FISI🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😊😊😊😊
Mkuu unaamini matokeo haya ni sahihi???? Usifurahie hata kidogo reflect miaka 10 iliyopita na Leo utapata majibu sahihi zaidi!!!
 
Ndugu samahanini naomba kufahamishwa jinsi gani ya kuludia mtihani wa kidato Cha sita kwa mwaka huu 2023 kuhusu vituo hambavyo Ada zao huwa sikubwa kwa hapa daresalaam nahuwa shilingi ngapi kikawaida maana Kuna dogo hapa anatia huruma kwakweli nataka nimsaidie kwa hili halikuwa anasumbuliwa na matatizo ya kiafya
 
Usingefikiria md kwanza, ungemwambia hata doctor of dental surgery bado haiwezekani, hata physiotherapy bado haiwekani hata pharmacy...hata medical laboratory muhas ni impossible na div2
Degree aina ipi Muhimbili? MD hataweza kupata.
 
Back
Top Bottom