Angalia hapa Matokeo ya Kidato cha 6 mwaka 2023

vip iyo Three awe ni yeye.. Unazan iyo 3 atakua nan?
 
Huenda Elimu imekuwa nyepesi

Huenda Wanafunzi wana akili

Huenda Siasa zimetumika
 
Tabora boys[emoji95][emoji95][emoji95]View attachment 2686813
Mkuu baba lao ni Ahmes Secondary. Ndiyo ya Kwanza Kitaifa wanafunzi wote 1. One Moja tu ya point 8. Overall GPA ya 1.2891 ndiyo anafuatia Tabora Boys no 2 kwa mbali yaani GPA ya 1.4..., ya Tatu Marian Boys akifuatiwa no 4 Kemebos. Anyway kuna orodha inazunguka mitandaoni shule zote ya kwanza mpaka ya mwisho.
 
Inamake sense sana...ule utamaduni wa kijana kapiga div one yako f4 alafu f6 unapiga zero haumake sense hata kidogo

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu unaamini matokeo haya ni sahihi???? Usifurahie hata kidogo reflect miaka 10 iliyopita na Leo utapata majibu sahihi zaidi!!!
 
Ndugu samahanini naomba kufahamishwa jinsi gani ya kuludia mtihani wa kidato Cha sita kwa mwaka huu 2023 kuhusu vituo hambavyo Ada zao huwa sikubwa kwa hapa daresalaam nahuwa shilingi ngapi kikawaida maana Kuna dogo hapa anatia huruma kwakweli nataka nimsaidie kwa hili halikuwa anasumbuliwa na matatizo ya kiafya
 
Usingefikiria md kwanza, ungemwambia hata doctor of dental surgery bado haiwezekani, hata physiotherapy bado haiwekani hata pharmacy...hata medical laboratory muhas ni impossible na div2
Degree aina ipi Muhimbili? MD hataweza kupata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…