Angalia hii kuhusu biashara ya mkokoteni

Kuna watu wakikaa, mawazo yao huwa ni kuingiza milioni 7 kwa kila dakika! Bila kuwaza zinaingia vipi? Great! For doing it your own way

October man
 
Waliondelea walibuni project kama hizo. Anglia tu sehemu nzuri utapeta ila usiwe unaitegemea hiyo biashara uwe na kigezo kingine hapo utaona pesa yake. Well done, keep it up
 
Waliondelea walibuni project kama hizo. Anglia tu sehemu nzuri utapeta ila usiwe unaitegemea hiyo biashara uwe na kigezo kingine hapo utaona pesa yake. Well done, keep it up
Iyo nataka nifanye kama uwekezaji tu kwasababu kwa sasa sina muda wa kufanya kazi kwahivyo dhumuni langu kutafuta mtaji
 
Kama unanawa vileeeee,

Hulipipii parking,
Hufanyi service
Hapo huli,
Huvai,
Hulipi bills,
Hunywi maji,
Hulipi nauli,
Hu......
Hu.....
Hu.....
2019 lazima uwe na milioni zote Faida.

By the way, it's good idea.
 
Kama unanawa vileeeee,

Hulipipii parking,
Hufanyi service
Hapo huli,
Huvai,
Hulipi bills,
Hunywi maji,
Hulipi nauli,
Hu......
Hu.....
Hu.....
2019 lazima uwe na milioni zote Faida.

By the way, it's good idea.
Kwa matumizi uliyopiga alinihusu ata moja kuusu parking ni juu ya aliye na kokoteni na kuusu kutumia pesa focus yangu ni kwamba nisitumie ata shilingi kumi ya faida ni kuweka tu pesa mpaka muda husika, maisha yangu yanajikidhi vizuri tu, ndio maana ni kasema dhumuni kuu ni kutafuta mtaji

Labda swala la maintaince ya kokoteni kidogo ndio zitanihusu na kwa makokoteni ni mara chache sana
 
OK, ni wazo zuri mkuu, nilikua najaribu tu ku-challenge.
Au na wewe hujaribiwi![emoji3]
 
The list katika ID nyingine???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…