Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Iyo nataka nifanye kama uwekezaji tu kwasababu kwa sasa sina muda wa kufanya kazi kwahivyo dhumuni langu kutafuta mtajiWaliondelea walibuni project kama hizo. Anglia tu sehemu nzuri utapeta ila usiwe unaitegemea hiyo biashara uwe na kigezo kingine hapo utaona pesa yake. Well done, keep it up
Kwa matumizi uliyopiga alinihusu ata moja kuusu parking ni juu ya aliye na kokoteni na kuusu kutumia pesa focus yangu ni kwamba nisitumie ata shilingi kumi ya faida ni kuweka tu pesa mpaka muda husika, maisha yangu yanajikidhi vizuri tu, ndio maana ni kasema dhumuni kuu ni kutafuta mtajiKama unanawa vileeeee,
Hulipipii parking,
Hufanyi service
Hapo huli,
Huvai,
Hulipi bills,
Hunywi maji,
Hulipi nauli,
Hu......
Hu.....
Hu.....
2019 lazima uwe na milioni zote Faida.
By the way, it's good idea.
Uwo moyo wa mtu hata mchana anakimbia nao akiamua sianao yeyeWakikimbia nayo??
OK, ni wazo zuri mkuu, nilikua najaribu tu ku-challenge.Kwa matumizi uliyopiga alinihusu ata moja kuusu parking ni juu ya aliye na kokoteni na kuusu kutumia pesa focus yangu ni kwamba nisitumie ata shilingi kumi ya faida ni kuweka tu pesa mpaka muda husika, maisha yangu yanajikidhi vizuri tu, ndio maana ni kasema dhumuni kuu ni kutafuta mtaji
Labda swala la maintaince ya kokoteni kidogo ndio zitanihusu na kwa makokoteni ni mara chache sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] najaribiwaOK, ni wazo zuri mkuu, nilikua najaribu tu ku-challenge.
Au na wewe hujaribiwi![emoji3]
The list katika ID nyingine???Salaam wadau
Katika moja ya idea(project) zangu zilizo kichwani ni biashara ya kukodisha makokoteni, dhumuni kubwa la kutaka kuanzisha hii biashara ni kukuza au kutengeneza mtaji wangu mwenyewe wa kuanzisha biashara zingine kubwa kubwa.
Nilimuuliza mtu mmoja ambaye kazi yake kusukuma mkokoteni akaniambia kuwa pesa ya kumpa mwenye mkokoteni ni makubaliano kwa yeye anampa 1000/= kwa siku, pia aliniaambia kama unaitaji kutengeneza kokoteni jipya pesa yake ni around 100,000/= mpaka 120,000/=
Kwa investigation zangu za haraka nikaona kama ndio hivyo hili faida iweze kupatikana angalau nitaitajika kuanza na makokoteni matatu kwa hesabu zifuatazo
Kokoteni 3 = 300,000/= yakutengenezea
Nikiingiza kwenye biashara
Kila Kokoteni moja =1200/day kukodisha
1200×3 kokoteni= 3600/day
Hivyo 3600/= kwa mwezi ninauwezo wa kuongeza lengine la nne hivyo hivyo la tano mwisho la sita ambapo nina target nikiwa nayo sita ndipo kikomo, nitakuwa naingiza 6000/= per day ambayo kwa mwezi ni 200,000/=
Nikifikia 200,000/= kwa mwezi hapa ndipo nitaanza kuhifadhi pesa zangu mpaka muda husika ambapo kwa mimi ni mwezi wa saba 2019 jumla kwa mahesabu yangu nitakuwa na minimum 2000,000/= si baba
Vipi kuusu hii investigation wakuu unajua nimeeleza katika linear form kuna fall and down na changamoto lakini siwezi kuzipima izo, kwa mwenye ushauri apa aweke
The List
Nielekezea icho kilimo unachoweza kulima kwa laki mbili, jaribu kuelewa mada mkuuKalime,achana na huo ujinga
Amna nime mtagi tu apoThe list katika ID nyingine???