Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Unaweza ukapata Mrembo wa kuoa hata kama ni kapuku muhimu nyota tu..😂😂😂Acha zako wewe mwanamke mzuri na chura juu akaolewe na kapuku hio mie nataka niione. Mzuri namba moja wa tz aliolewa na bionea mbona hakuchukuliwa na kapuku