Angalia Jinsi Akili Bandia (AI) Inavyoanza kupumzisha Wachoraji wa katuni na Wengineo

TODAYS

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2014
Posts
14,747
Reaction score
24,250
Nikiwa mmoja wa wafuatiliaji wa karibu sana wa hii teknolojia ya akili bandia inayofahamika kama AI.

Nimejionea kwa karibu sana jinsi mambo yanavyokuwa ya moto sana.


Kwa kuanzia kidogo tu, nimeonana na mchoraji katuni aliyeamua kusoma kwa nguvu, ananunua bundle then darasa linaanza, ananiambia ''brother muda umeenda'' no time to waste kwa sasa.

Leo tena mkongwe na mwalimu wangu naye anajiandaa kustaafu kuchora katuni, maji yanazidi unga.


Yeye anasema dunia inafanya mapinduzi makubwa sana kupitia teknolojia, muda wa kukaa meza kubwa yenye muinuko mbele umefifia kaka, now ni simu ili mradi iwe na bando.

Isitoshe kwa hapo, baadhi ya taasisi binafsi zimeanza kuunda AI images maalumu kwa matangazo ambapo akionekana tu utajua huyu ni kutoka kampuni flani as katumi nk.

Lile wazo lako badala ya kuchukua penseli na karatasi unaanza kupoteza muda halipo tena, bali ni kuliweka wazo lako katika mfumo wanauita prompt kisha unairuhusu ikufanyie kile unataka ni ndani ya sekunde 5 unapata matokeo zaidi ya 4 na kuchagua the best one.

Wachoraji wanaanza kukosa ile tunasema ground table of content, pencils zinakosa soko na soko linaamia kwa AI Pen.

Mfano:
Kwa kutumia prompt hii: A black woman in a farmer has wearing kanga and blouse written mkulima bora and behind there's some vegetables like spinach and tomatoes are crops grain and close to her feet there's hen.

Nikapata matokeo haya hapa
:


Na hii hapa chini...
 
Bado mchoro wa kuchorwa kwa mkono utaendelea kuwa na hadhi yake, ndio maana unaona hata michoro ya zamani huwa inauzwa kwa mamilioni ya Dollar kwenye minada ya kidunia.

Miaka ya mbele, hii michoro iliyochorwa kwa mkono itakuwa na thamani zaidi na itauzwa kwa bei ya juu sana.
 
Mfano hii picha nilitumia prompt hii hapa ili kuipata.

"A black woman in a farmer has wearing kanga and blouse written mkulima bora and behind on the there's some vegetables like spinach and tomatoes are crops grain and close to her feet there's hen"


 
Naungana nawe ndugu yangu, ipo michoro ya mkono yenye zaidi ya miaka mia ubora wake haulinganishwi na teknolojia ya sasa, sidhani kama itakuja kukosa soko michoro ya mkono, kuna watu wamejaliwa karama ya choraji mpaka hiyo AI inashangaa.
 
Dah!...noma sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…