Uko sahihi.Bado mchoro wa kuchorwa kwa mkono utaendelea kua na hadhi yake,ndio maana unaona hata michoro ya zamani hua inauzwa kwa mamilioni ya Dollar kwenye minada ya kidunia,
Miaka ya mbele,hii michoro iliyochorwa kwa mkono itakua na thamani zaidi na itauzwa kwa bei ya juu sana.