Angalia Jinsi Akili Bandia (AI) Inavyoanza kupumzisha Wachoraji wa katuni na Wengineo

Angalia Jinsi Akili Bandia (AI) Inavyoanza kupumzisha Wachoraji wa katuni na Wengineo

Mkuu kuna watu wanashindwa hao ambao hawajishughulishi...
Kwa mfano we unaona unaweza ukatengeneza kitu walau kwenye Computer ila kuna mtu computer kazi yake yeye ni kucheza game,Kuangalia mobi na suffing ...
Huyu mtu ntamuitaje ??
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ndo hapo sasa kunakuja ile dhana ya sio wote lazima wajue...
Unazani wote tukawa same kuna kupeleka mkono kinywani daktari πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™Œ
 
Uzuri ni kwamba unaweza kupromt AI ikafikiri au ikachora kam da vinci picha yoyote...
Kuna kipindi niliwahi kuuliza AI inipe mawazo ya magufuli kwenye.matter fulani hivi yaani kama angekuwepo angefanya nini na Angechukua jukumu gani na speech yake ingekuwaje...ikanipa
Na kumbuka AI imeanza kuwa public kipindi hiki cha karibuni, so kwasasa inakusanya taarifa nyingi sana kutoka kwa users, na hiki ndio kitamfanya awe bora sana katika siku zijazo Maana kama ni maarifa anayakusanya sana.
All in all hii AI tuliyonayo ni light one πŸ˜ƒ. Angalia khofu aliyonayo mtu kama Elon Musk juu ya AI.
 
Badala ya ubongo ilibidi aseme nini...???
Swali limekuja kwako daktariπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mkuu ubongo wa Binadamu kweli una mikunjo na una sentimita kwa wastani wa 15-17 cm ....
Japo ukikujuliwa (Japo ni theoretically huwezi kuukunjua) unawweza ukafika takribani Sentimita 80-100...

Kwa phrase alotoa sijui kaitoleaa wapi 🀣🀣
 
Na kumbuka AI imeanza kuwa public kipindi hiki cha karibuni, so kwasasa inakusanya taarifa nyingi sana kutoka kwa users, na hiki ndio kitamfanya awe bora sana katika siku zijazo Maana kama ni maarifa anayakusanya sana.
All in all hii AI tuliyonayo ni light one πŸ˜ƒ. Angalia khofu aliyonayo mtu kama Elon Musk juu ya AI.
Unajua Elon Musk ni miongoni wa waanzilishi wa OpenAI ambao ndo watengenezaji wa ChatGpt
 
Mkuu ubongo wa Binadamu kweli mzima una mikunjo na una sentimita kwa wastani wa 15-17 cm ....
Japo ukikujuliwa (Japo ni theoretically huwezi kuukunjua) unawweza ukafika takribani Sentimita 80-100...

Kwa phrase alotoa sijui kaitoleaa wapi 🀣🀣
Ndo maana nikasema kwa ubongo hapo hapana ila niliwahi sikia kuhusu nini zile za genetics sijui...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mkuu hapo kwa ubongo nishushe kaka! Hii safari siwezi kuendelea 🀣🀣🀣
Kwamba ukunjue ubongo utoke Afrika mpaka Marekani na kurudi mara nne Aah mkuu nishushe sipandi mwndokasi 🀣🀣
Umenisikitisha sana! Kama we doctorate by phD ni hasara!

Soma tena uelewe... unajua maana ya falsafa?!
 
Umenisikitisha sana! Kama we doctorate by phD ni hasara!

Soma tena uelewe... unajua maana ya falsafa?!
Am not a PhD holder, Am a scientist acha nikusikitishe kwa sababu as A medical Personel Sicho ninachokijua kuhusu ubongo mkuu...
Kwahyo siwezi kulazmisha nitumie Falsafa kwenye swala lililowekwa kisayansi mkuu...

But i think najua philosophy well and ni nahisi nimeisoma na najua baadhi kuihusu sijajua sasa mantiki yako ni ipi?
 
naungana nawe ndugu yangu, ipo michoro ya mkono yenye zaidi ya miaka mia ubora wake haulinganishwi na teknolojia ya sasa, sidhani kama itakuja kukosa soko michoro ya mkono , kuna watu wamejaliwa karama ya choraji mpaka hio AI inashangaa.
Zote zinaweza co-exist.
 
Back
Top Bottom